Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Tupo kwa ajili ya uzalendoDuh JF kuna wataalam sana!
Aiseeee !!!Rais wetu mpenda aliwahi kuhudumu hiyo wizara kwa kipindi kirefu sana.
Ubora wa barabara zetu janga.
Mpelekee taarifa kamanda msaliti awaambie mabeberu kuwa barabara zetu zinajengwa bila michoro, usanifu, wala ubora. Eti uzalendo, kumbuka hata watundulisu hujiita wazalendo.Tupo kwa ajili ya uzalendo
Kamanda ulichukulia wali degree yako ya uhandidi? Ebu tuonyeshe chochote ulichojenga wewe tuone na tujiridhishe kuwa wewe ni mbobea.
Wafuasi wa kamanda msaliti hamjambo kwa porojo [emoji1547]
Ungetuambia kwanza hilo daraja lilijengwa mwaka gani ili tuangalie limehudum kwa muda ganiMadaraja ya wenzetu ikitokea kukatika angalao unaona zege liliochanganywa na Nondo
Vipi mbona umekasirika sana..unahusika nini?Kamanda ulichukulia wali degree yako ya uhandidi? Ebu tuonyeshe chochote ulichojenga wewe tuone na tujiridhishe kuwa wewe ni mbobea.
Wafuasi wa kamanda msaliti hamjambo kwa porojo [emoji1547]