imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Kadogosa alisema ni mpaka kiangazi kiingie hahaaHivi reli ya kati bado haijapona tu mbona Tren za abilia hazitembei? Tanzania ya viwanda barabalani hakupitiki.. Relini pia hakupitiki.. Twende wapi sasa!!
Sent using Jamii Forums mobile app