Barabara za Tanzania zinajengwaje, mbona kama udongo mtupu?

View attachment 1375067

Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!

Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?

Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
Hata hilo wanalosema "daraja" labda lilikuwa pipa tu. Hakuna dalili ya kuwepo daraja la kweli hapo![emoji616][emoji2923]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inaonekana huna idea yoyote ya high way engineering, kama unayo utakuwa zero kichwani. Thickness ya Lami ikiwa kubwa kama unavyotaka wewe basi barabara zitakuwa ghali mno kujengwa. Hiyo Lami unayosema ndogo ilikuwa designed baada ya kutest udongo maabara uliochini ya Lami ndiomaana unaona malori yanapita naibonyei, acheni kuingilia fani za watu wakati ulisoma HKL
Tangu lini kuuliza ilikuwa ujinga ?
 
View attachment 1375067

Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!

Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?

Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
Kabla ya kuuliza ujenzi wake hebu tujue kwanza waziri aliye simamia huu ujenzi wa barabara zetu maana imekuwa hadithi sasa kila kona ya nchi madaraja yana chukuliwa na maji na hatusikii serikali ikiongelea hizi hasara.

Huu ujenzi ni sawa na uhujumu uchumi. Kwa picha ya hili daraja la Morogoro inaonyesha usimamizi haukuwepo. Tumshukuru sana Mungu kulichukua kwa maji maana lingeweza leta athari kubwa zaidi kama linge katika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu ambalo nahisi linafaa, wamesema hizo barabara zina miaka takribani 30 kwa hivo hata teknolojia iliyotumika kipindi hicho si sawa na zinazotumika sasa.
Labda wataalam waongeze nyama na mchuzi kwenye uzi.
 
View attachment 1375067

Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!

Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?

Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
Tatizo 10% na contraftors za mchina. Mjerumani alijenga reli mwaka 1905 mpala leo iko imara baada ya miaka karibu 120
 
Kabla ya kuuliza ujenzi wake hebu tujue kwanza waziri aliye simamia huu ujenzi wa barabara zetu maana imekuwa hadithi sasa kila kona ya nchi madaraja yana chukuliwa na maji na hatusikii serikali ikiongelea hizi hasara.

Huu ujenzi ni sawa na uhujumu uchumi. Kwa picha ya hili daraja la Morogoro inaonyesha usimamizi haukuwepo. Tumshukuru sana Mungu kulichukua kwa maji maana lingeweza leta athari kubwa zaidi kama linge katika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi jua hayo madaraja yaliyosombwa na maji life span yake ilikuwa ni miaka mingapi... Kiuhalisia hakuna kitakachodumu
 
We jamaa Fala kweli, unaijua thickness ya AC? Unataka uione kwa picha hiyo? Eti mbona hamna mawe, mkuu hujui kitu kuhusu ujenzi wa barabara
uzi huu ni uzi wa kufundishana , sasa badala ya kuniita jina la uongo la fala ungemwaga nondo ili wadau wengine wajue kumbe utaalam wa Tanzania ni lazima madaraja yang'oke .
 
Huwezi jua hayo madaraja yaliyosombwa na maji life span yake ilikuwa ni miaka mingapi... Kiuhalisia hakuna kitakachodumu
Hahaaaa,, life span!!?? Unajua hiyo barabara ni category gani? Hiyo sio feeder road baba!! Ni barabara kuu, na hapa Tanzania kuna barabara zimejengwa kwa kiwango cha lami hata kabla ya Uhuru na ziko imara hadi leo. Sembuse hiyo ambayo haina hata miaka ishirini? Hamko serious... Acheni kutetea uzembe.. Hili ni kosa na lazima taasisi husika ikiri kosa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa Fala kweli, unaijua thickness ya AC? Unataka uione kwa picha hiyo? Eti mbona hamna mawe, mkuu hujui kitu kuhusu ujenzi wa barabara
... ila tukubaliane tu ukweli; hata kwa asiye mtaalamu the way hilo daraja lilivyokatika kama pande la boflo hata nondo haionekani? Tukubali tu kuna michezo michafu mingi sana imefanyika kwenye sekta ya ujenzi wa barabara nchini! Hilo halina ubishi.
 
View attachment 1375067

Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!

Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?

Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
Hivi huyu aliyepiga hii picha hajuu kuwa Mrisho Mboga hapendi mapichapicha kama haya?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mkuu inaonekana huna idea yoyote ya high way engineering, kama unayo utakuwa zero kichwani. Thickness ya Lami ikiwa kubwa kama unavyotaka wewe basi barabara zitakuwa ghali mno kujengwa. Hiyo Lami unayosema ndogo ilikuwa designed baada ya kutest udongo maabara uliochini ya Lami ndiomaana unaona malori yanapita naibonyei, acheni kuingilia fani za watu wakati ulisoma HKL
Unaweza kudhibitisha barabara imejengwa according to specification? Kama huna hakika wa jambo tulia, madudu ya nchi hii ni common knowledge.
 
Hahaaaa,, life span!!?? Unajua hiyo barabara ni category gani? Hiyo sio feeder road baba!! Ni barabara kuu, na hapa Tanzania kuna barabara zimejengwa kwa kiwango cha lami hata kabla ya Uhuru na ziko imara hadi leo. Sembuse hiyo ambayo haina hata miaka ishirini? Hamko serious... Acheni kutetea uzembe.. Hili ni kosa na lazima taasisi husika ikiri kosa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako ulitaka hilo daraja lisibomoke milele? Hauwez kuwa serious mzee
 
Back
Top Bottom