Barabara za Tanzania zinajengwaje, mbona kama udongo mtupu?

Barabara za Tanzania zinajengwaje, mbona kama udongo mtupu?

Barabara ya Iringa -NJOMBE saizi imeanza kuwa na mashimo
Barabara nyingi zinazojengwa hazina ubora
Ninachoona ni sehemu tu ya kupiga Hela tu
We Unajenga Barabara ya lami miezi 6 ishakongoroka, hapo wanamkomoa Nani kama kiuchumi wanajihujumu wenyewe
Ona mwai kibaki road inavyojengwa kihunihuni tu na Kuna viongozi Wanangalia tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1375067

Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!

Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?

Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
Duuh
mfano ndo usiku upo na V8 SPEED 280KPH unawahi bata DOM sijui hapo ingekuwaje
 
Balabala zimemuumbua Mwenyekitu wa lichama furani hivi. Arijisifia kudjenga mibalabala nchi muzima. Thithiem wako kureee wamejikaria kimuya
View attachment 1375067

Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!

Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?

Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Uliona wapi lami iliojengwa kwa kutanguliza mawe.

Ukiacha kipande cha kutoka maganzo hadi bubiki kule shinyanga.

Lami zote hujengwa kwa kutangulizwa mgandamizo wa aina mbalimbali za udongo na kisha rare ya juu ndio huishia kokoto na kumiminiwa lami.

Mmekosa sera mmebaki majungu tupu.

Mpaka mnatia kinyaa na ukakasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1375067

Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!

Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?

Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
Wanasindilia kifusi halafu wanarashia lami kwa juu. Hizo ndizo barabara alizosimamia MsemakwelimpenziwaMungu
 
Waziri aliekua na dhamana ya kujenga hio barabara ya "MOROGORO - DODOMA" kipindi cha Mkwere anatakiwa afunguliwe mashtaka ya "UHUJUMU UCHUMI".

Haiwezekani akatumia hela za umma kujenga barabara kwa udongo mfinyanzi.
Awekwe ndani kwa tuhuma za uhujumu uchumi na utakatishaji wa pesa. Hiyo ihusishe na nyumba za serikali alizosimamia kuzigawa kwa ndugu na marafiki zake
 
Duuh nimeona madaraja yaliyojengwa enzi za Warumi lakini bado yapo na yanatumika sijui hiyo lifespan inakuwaje hapo
Kwa tafsiri ya kiswahili lile ni daraja ila kitaalam ni culvert tu lile... Hamna piles pale... Sasa mlitaka likae hadi vilembwe vyenu vilikute
 
Mkuu inaonekana huna idea yoyote ya high way engineering, kama unayo utakuwa zero kichwani. Thickness ya Lami ikiwa kubwa kama unavyotaka wewe basi barabara zitakuwa ghali mno kujengwa. Hiyo Lami unayosema ndogo ilikuwa designed baada ya kutest udongo maabara uliochini ya Lami ndiomaana unaona malori yanapita naibonyei, acheni kuingilia fani za watu wakati ulisoma HKL
Kweli mkuu, watu wanapenda sana kuingilia vitu ambavyo hawavijui, na hii imechangiwa sana na wanasiasa wetu, wakishapewa vyeo wanajifanya wanajua kila kitu bila consultation ya professionals!
 
Awekwe ndani kwa tuhuma za uhujumu uchumi na utakatishaji wa pesa. Hiyo ihusishe na nyumba za serikali alizosimamia kuzigawa kwa ndugu na marafiki zake
FB_IMG_1582361408298.jpg
 
Awekwe ndani kwa tuhuma za uhujumu uchumi na utakatishaji wa pesa. Hiyo ihusishe na nyumba za serikali alizosimamia kuzigawa kwa ndugu na marafiki zake
Kabisa, inabidi raia wanyonge tumuombe Rais wetu Kipenzi/Jiwe/Mpambanaji Wa Mafisadi na Mabeberu/Mchapakazi amkamate huyo aliekua waziri wa ujenzi wa utawala ulipita amshughulikie ipasavyo kwa uhujumu uchumi huo.

Naamini Rais atapokea kilio chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom