Hata hilo wanalosema "daraja" labda lilikuwa pipa tu. Hakuna dalili ya kuwepo daraja la kweli hapo![emoji616][emoji2923]View attachment 1375067
Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!
Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?
Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
Tangu lini kuuliza ilikuwa ujinga ?Mkuu inaonekana huna idea yoyote ya high way engineering, kama unayo utakuwa zero kichwani. Thickness ya Lami ikiwa kubwa kama unavyotaka wewe basi barabara zitakuwa ghali mno kujengwa. Hiyo Lami unayosema ndogo ilikuwa designed baada ya kutest udongo maabara uliochini ya Lami ndiomaana unaona malori yanapita naibonyei, acheni kuingilia fani za watu wakati ulisoma HKL
Sasa ndugu mtaalam hivyo ndivyo lilivyojengwa hilo daraja letu ?Bridge have the folowing elements/parts
1.pier
2.pile
3.abutment
4.Deck
5.Girder
View attachment 1375170View attachment 1375171View attachment 1375172
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kuuliza ujenzi wake hebu tujue kwanza waziri aliye simamia huu ujenzi wa barabara zetu maana imekuwa hadithi sasa kila kona ya nchi madaraja yana chukuliwa na maji na hatusikii serikali ikiongelea hizi hasara.View attachment 1375067
Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!
Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?
Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
Achana nao hao ndio wale wa expansion joint wakati ni crack ili kusifia tuTangu lini kuuliza ilikuwa ujinga ?
Tatizo 10% na contraftors za mchina. Mjerumani alijenga reli mwaka 1905 mpala leo iko imara baada ya miaka karibu 120View attachment 1375067
Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!
Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?
Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
😆😆😆 expansion joint !Achana nao hao ndio wale wa expansion joint wakati ni crack ili kusifia tu
Wachina na ccm wanashirikiana katika kuitafuna nchi hiiTatizo 10% na contraftors za mchina. Mjerumani alijenga reli mwaka 1905 mpala leo iko imara baada ya miaka karibu 120
Huwezi jua hayo madaraja yaliyosombwa na maji life span yake ilikuwa ni miaka mingapi... Kiuhalisia hakuna kitakachodumuKabla ya kuuliza ujenzi wake hebu tujue kwanza waziri aliye simamia huu ujenzi wa barabara zetu maana imekuwa hadithi sasa kila kona ya nchi madaraja yana chukuliwa na maji na hatusikii serikali ikiongelea hizi hasara.
Huu ujenzi ni sawa na uhujumu uchumi. Kwa picha ya hili daraja la Morogoro inaonyesha usimamizi haukuwepo. Tumshukuru sana Mungu kulichukua kwa maji maana lingeweza leta athari kubwa zaidi kama linge katika.
Sent using Jamii Forums mobile app
uzi huu ni uzi wa kufundishana , sasa badala ya kuniita jina la uongo la fala ungemwaga nondo ili wadau wengine wajue kumbe utaalam wa Tanzania ni lazima madaraja yang'oke .We jamaa Fala kweli, unaijua thickness ya AC? Unataka uione kwa picha hiyo? Eti mbona hamna mawe, mkuu hujui kitu kuhusu ujenzi wa barabara
Hahaaaa,, life span!!?? Unajua hiyo barabara ni category gani? Hiyo sio feeder road baba!! Ni barabara kuu, na hapa Tanzania kuna barabara zimejengwa kwa kiwango cha lami hata kabla ya Uhuru na ziko imara hadi leo. Sembuse hiyo ambayo haina hata miaka ishirini? Hamko serious... Acheni kutetea uzembe.. Hili ni kosa na lazima taasisi husika ikiri kosa..Huwezi jua hayo madaraja yaliyosombwa na maji life span yake ilikuwa ni miaka mingapi... Kiuhalisia hakuna kitakachodumu
... ila tukubaliane tu ukweli; hata kwa asiye mtaalamu the way hilo daraja lilivyokatika kama pande la boflo hata nondo haionekani? Tukubali tu kuna michezo michafu mingi sana imefanyika kwenye sekta ya ujenzi wa barabara nchini! Hilo halina ubishi.We jamaa Fala kweli, unaijua thickness ya AC? Unataka uione kwa picha hiyo? Eti mbona hamna mawe, mkuu hujui kitu kuhusu ujenzi wa barabara
Hivi huyu aliyepiga hii picha hajuu kuwa Mrisho Mboga hapendi mapichapicha kama haya?View attachment 1375067
Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!
Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?
Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
... kwa hiyo lilijengwa purposely life span yake iishie kipindi hiki? Mkiitwa wahujumu mtakasirika?Huwezi jua hayo madaraja yaliyosombwa na maji life span yake ilikuwa ni miaka mingapi... Kiuhalisia hakuna kitakachodumu
Unaweza kudhibitisha barabara imejengwa according to specification? Kama huna hakika wa jambo tulia, madudu ya nchi hii ni common knowledge.Mkuu inaonekana huna idea yoyote ya high way engineering, kama unayo utakuwa zero kichwani. Thickness ya Lami ikiwa kubwa kama unavyotaka wewe basi barabara zitakuwa ghali mno kujengwa. Hiyo Lami unayosema ndogo ilikuwa designed baada ya kutest udongo maabara uliochini ya Lami ndiomaana unaona malori yanapita naibonyei, acheni kuingilia fani za watu wakati ulisoma HKL
Kwa akili yako ulitaka hilo daraja lisibomoke milele? Hauwez kuwa serious mzeeHahaaaa,, life span!!?? Unajua hiyo barabara ni category gani? Hiyo sio feeder road baba!! Ni barabara kuu, na hapa Tanzania kuna barabara zimejengwa kwa kiwango cha lami hata kabla ya Uhuru na ziko imara hadi leo. Sembuse hiyo ambayo haina hata miaka ishirini? Hamko serious... Acheni kutetea uzembe.. Hili ni kosa na lazima taasisi husika ikiri kosa..
Sent using Jamii Forums mobile app