Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,624
- 4,345
Tutachoshana bure tu hapa...... kwa hiyo lilijengwa purposely life span yake iishie kipindi hiki? Mkiitwa wahujumu mtakasirika?
Duuh nimeona madaraja yaliyojengwa enzi za Warumi lakini bado yapo na yanatumika sijui hiyo lifespan inakuwaje hapoHuwezi jua hayo madaraja yaliyosombwa na maji life span yake ilikuwa ni miaka mingapi... Kiuhalisia hakuna kitakachodumu
List of bridge failures - WikipediaView attachment 1375067
Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!
Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?
Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
Barabara nyingi zinazojengwa hazina ubora
Ninachoona ni sehemu tu ya kupiga Hela tu
We Unajenga Barabara ya lami miezi 6 ishakongoroka, hapo wanamkomoa Nani kama kiuchumi wanajihujumu wenyewe
Ona mwai kibaki road inavyojengwa kihunihuni tu na Kuna viongozi Wanangalia tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuhView attachment 1375067
Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!
Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?
Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
View attachment 1375067

Nadhani nyiebmnao tetea uzembe mmelogwa. Na alie waloga amesha fariki.Kwa akili yako ulitaka hilo daraja lisibomoke milele? Hauwez kuwa serious mzee
Wanasindilia kifusi halafu wanarashia lami kwa juu. Hizo ndizo barabara alizosimamia MsemakwelimpenziwaMunguView attachment 1375067
Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi!
Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi?
Hivi ndivyo nchi za wenzetu zinavyojenga barabara au ni sisi tu?
Awekwe ndani kwa tuhuma za uhujumu uchumi na utakatishaji wa pesa. Hiyo ihusishe na nyumba za serikali alizosimamia kuzigawa kwa ndugu na marafiki zakeWaziri aliekua na dhamana ya kujenga hio barabara ya "MOROGORO - DODOMA" kipindi cha Mkwere anatakiwa afunguliwe mashtaka ya "UHUJUMU UCHUMI".
Haiwezekani akatumia hela za umma kujenga barabara kwa udongo mfinyanzi.
Kwa tafsiri ya kiswahili lile ni daraja ila kitaalam ni culvert tu lile... Hamna piles pale... Sasa mlitaka likae hadi vilembwe vyenu vilikuteDuuh nimeona madaraja yaliyojengwa enzi za Warumi lakini bado yapo na yanatumika sijui hiyo lifespan inakuwaje hapo
Kweli mkuu, watu wanapenda sana kuingilia vitu ambavyo hawavijui, na hii imechangiwa sana na wanasiasa wetu, wakishapewa vyeo wanajifanya wanajua kila kitu bila consultation ya professionals!Mkuu inaonekana huna idea yoyote ya high way engineering, kama unayo utakuwa zero kichwani. Thickness ya Lami ikiwa kubwa kama unavyotaka wewe basi barabara zitakuwa ghali mno kujengwa. Hiyo Lami unayosema ndogo ilikuwa designed baada ya kutest udongo maabara uliochini ya Lami ndiomaana unaona malori yanapita naibonyei, acheni kuingilia fani za watu wakati ulisoma HKL
Waziri aliyesimamia ujenzi was barabara hii awajibike!Duh JF kuna wataalam sana!
ππππWanasindilia kifusi halafu wanarashia lami kwa juu. Hizo ndizo barabara alizosimamia MsemakwelimpenziwaMungu
Awekwe ndani kwa tuhuma za uhujumu uchumi na utakatishaji wa pesa. Hiyo ihusishe na nyumba za serikali alizosimamia kuzigawa kwa ndugu na marafiki zake
Kabisa, inabidi raia wanyonge tumuombe Rais wetu Kipenzi/Jiwe/Mpambanaji Wa Mafisadi na Mabeberu/Mchapakazi amkamate huyo aliekua waziri wa ujenzi wa utawala ulipita amshughulikie ipasavyo kwa uhujumu uchumi huo.Awekwe ndani kwa tuhuma za uhujumu uchumi na utakatishaji wa pesa. Hiyo ihusishe na nyumba za serikali alizosimamia kuzigawa kwa ndugu na marafiki zake