Barabara za Tanzania zinajengwaje, mbona kama udongo mtupu?

YAANI NAANZA NA WEWE yaani we ni nguruwe kabisa hiyo barabara imedumu kwa muda gani mpaka sasa maroli mangapi yanapita kwa mwaka hayabomoi njia hiyo nyie ni wataalamu kuliko waliotengeneza barabara ikadumu miaka yote hiyo pumbavu nyie
 
Halafu kwa cheo chake cha mkuu wa malaika wa mbinguni amuombe sir god ili aturekebishie hii koki ya mvua iminywe kidogo
 
hivi unaakili timamu kweli wewe au unaleta usen****ge tu hapa yaani barabara mumeitumia miaka nenda rudi imebeba maroli miaka yote hiyo haijafumuka leo unasema unaweza kuichimba kwa kutumia jembe yaani nyie ndo hamna tofauti na mashoga kabisa
 
Wewe ndiyo utakuwa umejenga dunga road miezi 3 lami kwishneyyyy.....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete data kuonyesha ni kiasi gani cha ujazo wa lami unatakiwa kwenye barabara na uje utueleze kwa macho yako umeoana barabara hiyo ina upungufu wa ujazo kiasi kisha ndio tuanze kujadili haiwezekani kujadili kwa kuangalia picha wakati kitu chenyewe kinahitaji elimu Na utafiti wa vitendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa kudra za mwenyezimungu tu mimi kwa sasa kila daraja ninalokanyaga nitakuwa nafanya maombi baada ya kuliona hili lililomomonyoka kama biskuti kwenye chai ya moto.
utqkuwa unagongwa wewe acha tuwatengenezee nchi mfaidi matunda yetu
 
Nchini China waziri aliyehusika na mikataba ya hiyo barabara, Katibu mkuu wa wizara na mkurugenzi wa mamlaka ya ujenzi wa barabara (mfano Tanroads kwa TZ) wa wakati huo hakika Leo hii bila kujali wana vyeo gani kwa sasa ingekuwa ni kitanzi tuu.
Huku sijui itakuwaje, unaweza kuta wako kwenye siasa na wanaomba kura tena kugombea uongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako ulitaka hilo daraja lisibomoke milele? Hauwez kuwa serious mzee
Kumbe tunajenga vitu kwa ajili ya kipindi fulani!!???
Mfugale "flyover" na 'Nyerere Bridge" kipindi chao ni lini!!??
Je ikifika kipindi cha kubomoka,hayatatuletea madhara!!???
 
Safi mkuu, awaache maengineer na HKL yake.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
 
Kuna thread humu kama hii, walisepa.
 
Nadhani waimba mapambio wangetusaidia. Je ni huyo huyo asiependa kukosolewa?
 
hivi unaakili timamu kweli wewe au unaleta usen****ge tu hapa yaani barabara mumeitumia miaka nenda rudi imebeba maroli miaka yote hiyo haijafumuka leo unasema unaweza kuichimba kwa kutumia jembe yaani nyie ndo hamna tofauti na mashoga kabisa
Matusi na uchawi ndio njia pekee ya masikini kupambana na Tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…