tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Barabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.
Soma pia: Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu
Watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wameendelea kuwasili nyumbani Kwa marehemu Spika wa Bunge mstaafu, Job Ndugai nyumbani kwake Njedengwa jijini Dodoma.
Aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa na Katibu mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally ni miongoni mwa waliowasili nyumbani kwamarehemu eneo la Njedengwa Jijini Dodoma. Pamoja naye, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewasili pia katika msiba huo.
Chanzo: EastAfrica tv