Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
..
Wataweka lami?#UPDATES Barabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.
Watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wameendelea kuwasili nyumbani Kwa marehemu Spika wa Bunge mstaafu, Job Ndugai nyumbani kwake Njedengwa jijini Dodoma.
Aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa na Katibu mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally ni miongoni mwa waliowasili nyumbani kwa marehemu eneo la Njedengwa Jijini Dodoma. Pamoja naye, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewasili pia katika msiba huo.
Ngoja wamalizie barabara ndio tutapita wengi. Poleni woteMtoa post umesema kuna viongozi wengi wamefika mbona umemtaja Bashiru Ally Tu?
Barabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.
View attachment 3434940
Soma pia: Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu
Watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wameendelea kuwasili nyumbani Kwa marehemu Spika wa Bunge mstaafu, Job Ndugai nyumbani kwake Njedengwa jijini Dodoma.
Aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa na Katibu mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally ni miongoni mwa waliowasili nyumbani kwamarehemu eneo la Njedengwa Jijini Dodoma. Pamoja naye, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewasili pia katika msiba huo.
Chanzo: EastAfrica tv
25 yes kk aisee ubunge kama.laanaDuh nlijuwa kuna mkeka huko
Anyway poleni
Ova
Marehemu alikuwa mpumbavu sana. Ati bunge linarudisha chenji ikulu?Alijua tu kutoa wabunge wa upinzani bungeni.
Wataweka lami?
nalia traore anaweka pavement sehem zote sis y?Niliona vumbi nikajisemea nchi zingine kwanza kando ya barabara ingepandwa miti.Halafu hilo eneo vumbi, miti hakuna
Ninyi mnashida sana. Kwenye ngalawa kumeboreshwa maneno, kwenye hifadhi mpya ya wanyama kumeboreshwa maneno....kwenye baridi kali wakati wa usiku hapajaboreshwa maneno...! Mna nini lakini?Khaaa, yaani hata kukwangua barabara tu kulimshinda supika mstaafu wa bunge, by the way kifo ni kifo tu!.
Wakiwa wanaomba ridhaa ya Ubunge wawe wanasema ilani ni kuwa barabara itatengenezwa tukifa
Sasa umeshindwa kuchonga akiwa hai amekufa itasaidia nini? Sisiemu wana mambo ya ajabu sanaBarabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.