Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Roho mbaya tu.....si alikuwa anasema Wananchi wana maendeleo sana chini ya ccm? Ndio hayo?Ulitaka ajenge barabara yeye ndio serikali?
Roho mbaya tu.....si alikuwa anasema Wananchi wana maendeleo sana chini ya ccm? Ndio hayo?Ulitaka ajenge barabara yeye ndio serikali?
Pia aliwakingia kifua wahuni waliokosa sifa za ubunge kuendelea kushiriki shughuli za bunge kama wabungeNdugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.
Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom -Dar.
Pia Ndugai alikataa waziwazi nchi yetu kuwa ombaomba.
Hiyo pesa ingetosha kujenga lami safi km 20+Huku yeye akitibiwa nje ya nchi kwa Bilioni 20+
Unapotaka kufanya jambo usiwasikilize watu, wao hawana jema kwa kila ufanyalo ni baya machoni pao.Hawa jamaa wakiwa ktk uongozi huwa hawazioni hata changamoto ktk jamii zao?. Anyway acha iwe hivyo maana hata wale waliojenga makwao(magufuri) mlilalamika kuwa wanajipendelea, na hawa wasiojioendelea bado mnalalamika.
Note: Unapotaka kufanya jambo usiwasikilize watu, wao hawana jema kwa kila ufanyalo ni baya machoni pao.
Unapotaka kufanya jambo usiwasikilize watu, wao hawana jema kwa kila ufanyalo ni baya machoni pao.Enyi watoa comments acheni/punguzeni unafiki mtu akijenga maneno oohóo anajenga kwao asipo Jenga unafiki oohoo ameshidwa hata kujenga kwao UNAFIKI UNAFIKI.
Hata Mwakyembe kwao kule Ikolo Kyela, ikibidi kusubiri afe mkewe ili kukwangua barabara.Alijua tu kutoa wabunge wa upinzani bungeni.
Jiwe gizani..... hii
Rest in pieces.Jiwe gizani.
Pamoja na msimu wa neema wa uchaguzi chafuzi,haziikubahatika kupitiwa na tingatinga?Barabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.
View attachment 3434940
Soma pia: Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu
Watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wameendelea kuwasili nyumbani Kwa marehemu Spika wa Bunge mstaafu, Job Ndugai nyumbani kwake Njedengwa jijini Dodoma.
Aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa na Katibu mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally ni miongoni mwa waliowasili nyumbani kwamarehemu eneo la Njedengwa Jijini Dodoma. Pamoja naye, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewasili pia katika msiba huo.
Chanzo: EastAfrica tv
Si kwa mabaya ila mazuri.hakika mtanikumbukaaa
Pole sana. Usiku mwema, mjumbe.Rest in pieces.