Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
Hivi traore anapiga kazi kweli, au ndo wanasiasa tu --- nakumbuka kama yule hichilema alianza na mbwembwe ila naona siku hizi kimya sananalia traore anaweka pavement sehem zote sis y?
Hivi traore anapiga kazi kweli, au ndo wanasiasa tu --- nakumbuka kama yule hichilema alianza na mbwembwe ila naona siku hizi kimya sananalia traore anaweka pavement sehem zote sis y?
Paravents,lami the pembeni mnaacha udongo mnapanda miti,bustani.nalia traore anaweka pavement sehem zote sis y?
Barabara ya kongwa ilivyo mbovu wanatengeneza siku kafairiki? Hii ni kitu gani? Wtf?Barabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.
View attachment 3434940
Soma pia: Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu
Watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wameendelea kuwasili nyumbani Kwa marehemu Spika wa Bunge mstaafu, Job Ndugai nyumbani kwake Njedengwa jijini Dodoma.
Aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa na Katibu mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally ni miongoni mwa waliowasili nyumbani kwamarehemu eneo la Njedengwa Jijini Dodoma. Pamoja naye, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewasili pia katika msiba huo.
Chanzo: EastAfrica tv
Pita kongwa, ile sio barabara ni tatizo, halaf wana mbunge kawa hadi speaker lakin hamna hata dalili za kuwekwa lamiNiliona vumbi nikajisemea nchi zingine kwanza kando ya barabara ingepandwa miti.Halafu hilo eneo vumbi, miti hakuna
Selfishness, RIP Marehemu no wonder watu wa kwao wamekesha wakiburudika kama vile mkesha wa mwenge.Khaaa, yaani hata kukwangua barabara tu kulimshinda supika mstaafu wa bunge, by the way kifo ni kifo tu!.
Angejipigia mkeka huko kwa faida yake na wapiga kura wake25 yes kk aisee ubunge kama.laana
Hata kwenda kwako kujenga shidaa
M NASHANGAA KONGWA KASHINDWA NNAngejipigia mkeka huko kwa faida yake na wapiga kura wake
Mbona magu ada Estate alijivutia mkeka na watu huk KULE MTEo walinufaika
Mfugale temboni mkeka ulipigwa
Sema uliishia kwake 😄
Anna makinda alijivutia mkeka
Ndugai kwake salasala kwenda kuna mkeka
Ova
Naona ana V8 so hakuona taabu kabisa,ukizingatia ana dereva pia 24 h/24 .Pita kongwa, ile sio barabara ni tatizo, halaf wana mbunge kawa hadi speaker lakin hamna hata dalili za kuwekwa lami
Dah wana miji mingapi?Dar,Dodoma mjini,KongwaAngejipigia mkeka huko kwa faida yake na wapiga kura wake
Mbona magu ada Estate alijivutia mkeka na watu huko walinufaika
Mfugale temboni mkeka ulipigwa
Sema uliishia kwake 😄
Anna makinda alijivutia mkeka
Ndugai kwake salasala kwenda kuna mkeka
Ova
Oya kikwete mambo vipiAibu naona mimi
You have serious mental issues. Kama ndio justification yako hiiNinyi mnashida sana. Kwenye ngalawa kumeboreshwa maneno, kwenye hifadhi mpya ya wanyama kumeboreshwa maneno....kwenye baridi kali wakati wa usiku hapajaboreshwa maneno...! Mna nini lakini?
Sasa nenda nae huko alipo maana inaonekana una uchungu sanaNdugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.
Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom -Dar.
Pia Ndugai alikataa waziwazi nchi yetu kuwa ombaomba.
Mara zote kifo kinapotokea kwa wale tunaobakia tunatakiwa tujifunze kutokana na makosa aliyofanya mwenzetu ili tusiyarudie,nina uhakika hapa kuna wanaojifunza kitu...Barabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.