tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Kifo ni kifo tu.Poleni sana
Huku yeye akitibiwa nje ya nchi kwa Bilioni 20+Khaaa, yaani hata kukwangua barabara tu kulimshinda supika mstaafu wa bunge, by the way kifo ni kifo tu!.
Kwani hapo ni jimboni kwake?Khaaa, yaani hata kukwangua barabara tu kulimshinda supika mstaafu wa bunge, by the way kifo ni kifo tu!.
Hii ndiyo hali halisi ya nchi yote. Alifanya vizuri kutokuwa mbinafsi na kuamuru itengenezwe kwa sababu inaelekea nyumbani kwake. Tatizo ni kuwa viongozi hawaonekani kutaka kurekebisha mambo.Hawa ndio tunawaita viongozi wabinafsi, unashindwa hata kumobilize watu wa eneo hilo kuchangia maendeleo yao kweli, sasa wewe ni kiongozi wa aina gani!!
Duh, Ndugai ni kiboko! Yaani ameanza kutekeleza ahadi hata kabla ya kuapishwa! Miaka mitano jimbo hilo litakuwa kama Greenland, hakuna vumbi na full AC.Barabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.
View attachment 3434940
Soma pia: Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu
Watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wameendelea kuwasili nyumbani Kwa marehemu Spika wa Bunge mstaafu, Job Ndugai nyumbani kwake Njedengwa jijini Dodoma.
Aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa na Katibu mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally ni miongoni mwa waliowasili nyumbani kwamarehemu eneo la Njedengwa Jijini Dodoma. Pamoja naye, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewasili pia katika msiba huo.
Chanzo: EastAfrica tv
https://www.facebook.com/Barabara zimeanda kufanyiwa marekebisho nyumbani kwa marehemu Job Ndugai, Njedengwa jijini Dodoma ili kurahisisha upitaji wa magari.