Barabarani kuna watu wana Immunity, usijaribu kuiga. Sheria haziwahusu


Hata kama hawana immunity, wewe si umevunja Sheria? Then lipa fine
 
Hawajanichoma, mbinu iliyotumika ilikuwa well planned.
Yule askari alisimama barabarani kabisa akawa anafanya ishara ya mdogo mdogo kwa mkono.
Askari waliopo highway akitaka kukukamata ndio huwa anatumia staili hiyo, anamzuia wa mbele apunguze mwendo, kisha anakuchomoa kiulaiiiini kama kunguni kwenye shuka jeupe.
 
Wewe shukuru limekwisha salama...

Mimi nilipitwa na gari private tuu, plate number za njano...nikaunga nao muda mrefu tuu ..

Kumbe ni watu wako na kazi zao bwanaa...nafika sehemu (sipataji maana humu ndani Kuna wasiojulikana wanaweza wakarecall na kunijua)
Nafika sehemu Kuna Askari..wale jamaa hawakusimamishwa... Ila waliamua kusimama wenyewe..katikati ya barabara...nikashindwa kupita wakaita Askari na kutoa order ..
Mi niko nyuma tuu sijui chochote...

Wale jamaa wakaendelea na safari...nilikaa pale saa kama 3, omba msamaha..eti kwanini naingilia misafara nisiyo ijua..niliongea sana...Kuna jamaa mmoja nafahamiana naye ..nikampigia..akamtafuta OCD wa maeneo hayo...ila nikajua Barabarani Tanzania Kuna gari za hovyo sio za kuzifukuzia
 
Hawa ndio wanawasafirisha kina Sativa πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…