Baraka da prince amtukana Msami

Nimeona nyingne NOW kamtukana NEY Wa mitego [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaaa ya Ney wa mitego sijaiona...dah,wamuache tu jamaa wa watu sasa..
 
Hahahaaa ya Ney wa mitego sijaiona...dah,wamuache tu jamaa wa watu sasa..
Nimeiona mkuu ni kutokana na issue ya Stani Bakora [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
NI MSHAMBA BADO

OVA
 
Lishamba hili dogo linalopokaga tu
Pale tu alipokuwa anahojiwa EATV kuhusu nyumba yake halafu yeye macho kodo kwa yule mpenzi wake huku akimshika shika

Nikaamini kweli binti mweupe kwa msukuma ni zaidi ya dhahabu.

Dogo ana kaushamba ka usukumani bado.
 
Mkuu tutafikishana mbele ya sheria ujue, yule dogo ni ngosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasema hiviiii yule baraka ni mjaluo over na huu mjadala kuhusu kabila lake umefungwa rasmi

Nikiripoti kutoka maswa mkoa mpya wa simiyu ni mimi NGOSHA
 
Hili ni lisukuma, hakuna jaluo mshamba hivo
 
Ninapenda muziki wake ila anaonekana ana tatizo,pia hajiamini !!!
 
Tatizo naskia ana krismasi mbili tu mjini apa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu mnavyocomment humu akipita atatukana matusi yote yaliyopo kwenye kamusi ya kichwa chake
 
Baraka bado BOYA hata ukimuangalia tuu utakuwa umeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…