Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,710
Hahahaaa ya Ney wa mitego sijaiona...dah,wamuache tu jamaa wa watu sasa..Nimeona nyingne NOW kamtukana NEY Wa mitego [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa ya Ney wa mitego sijaiona...dah,wamuache tu jamaa wa watu sasa..Nimeona nyingne NOW kamtukana NEY Wa mitego [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nimeiona mkuu ni kutokana na issue ya Stani Bakora [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaaa ya Ney wa mitego sijaiona...dah,wamuache tu jamaa wa watu sasa..
Ukubali au UkataeSijawahi hata kumkubali hata kwa bahati mbaya!!
NI MSHAMBA BADOMie huwa nnamsupport Lakini nimekuja kugundua Kuwa baraka Hana akili hata Kidogo, anapanic, hauwezi ucelebrity,kila kitu anajibu,kila scandal atukana tena mtandaoni, ajiona ni mwanamuziki kweli, asipoangalia atapotea kimziki Mapema Sana,, mtu gani asiyejua utani?? Mpaka nikahisi huenda ana tatizo maana siyo kwa kujibizana kishamba Huku,anaboa inshort
Pale tu alipokuwa anahojiwa EATV kuhusu nyumba yake halafu yeye macho kodo kwa yule mpenzi wake huku akimshika shikaLishamba hili dogo linalopokaga tu
Nasema hiviiii yule baraka ni mjaluo over na huu mjadala kuhusu kabila lake umefungwa rasmiMkuu tutafikishana mbele ya sheria ujue, yule dogo ni ngosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio lollpop huyo!! Hit song za baraka karibia zote hasa siachani nawe kaandikiwa na Huyo Jamaa Afu na Kichwa moja kidboyMoyo mashine si imeandikwa na Goodluck Gosbert
nakataa kwa nguvu zote dogo sio mkurya..... angekuwa na kabila hilo asingekuwa na mambo ya kidosho kama anayoyafanyaDogo ni mkurya,ila aache kupanic hovyo x2 ,hajui hata utani.
me nilidhani gosbert na lollipop ni mapacha kumbe ni 2 in 1Goodluck gosbert ndio lollipop
😀😀😀😀😀😀😀 great thinkers mna maneno hatariiiiiiiiHivi Baraka ni Yule dogo mweusi kama aliyepinduka kwenye gari la kiwi?!
kwanza kuna mkurya Bishoo?sisi huwa ni watu wa kazi tu!nakataa kwa nguvu zote dogo sio mkurya..... angekuwa na kabila hilo asingekuwa na mambo ya kidosho kama anayoyafanya
Ninapenda muziki wake ila anaonekana ana tatizo,pia hajiamini !!!Mie huwa nnamsupport Lakini nimekuja kugundua Kuwa baraka Hana akili hata Kidogo, anapanic, hauwezi ucelebrity,kila kitu anajibu,kila scandal atukana tena mtandaoni, ajiona ni mwanamuziki kweli, asipoangalia atapotea kimziki Mapema Sana,, mtu gani asiyejua utani?? Mpaka nikahisi huenda ana tatizo maana siyo kwa kujibizana kishamba Huku,anaboa inshort
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo naskia ana krismasi mbili tu mjini apa...
Alaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baraka bado BOYA hata ukimuangalia tuu utakuwa umeelewaMie huwa nnamsupport Lakini nimekuja kugundua Kuwa baraka Hana akili hata Kidogo, anapanic, hauwezi ucelebrity,kila kitu anajibu,kila scandal atukana tena mtandaoni, ajiona ni mwanamuziki kweli, asipoangalia atapotea kimziki Mapema Sana,, mtu gani asiyejua utani?? Mpaka nikahisi huenda ana tatizo maana siyo kwa kujibizana kishamba Huku,anaboa inshort