Baraka da prince amtukana Msami

Baraka da prince amtukana Msami

Simpendagi huyu mtoto na mashauzi yake yakise........
Kama aliweza kumtolea Shit Kidway to the D,aliyemtoa ushamba na kumuingiza kwenye ulimwengu wa sanaa,basi hawezi kumuheshimu mtu yeyote,bado anau-Jaluo mwingi sana..

Uimbaji wake wenyewe kila siku Tune ni ileile,habadiliki,nyimbo mpya imebuma anatafuta wa kumfia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
na lollipop aliyeandika siwezi
 
Huyu Dogo before nlkuwa namuelewa asaa kapata Huyo demu cjui mtama na kaanza urafiki na mzimiwa microphone Aaaaah kawa kiazi kwelkwel hajui utani point za kuzungumza hana... anabaki kutuonyesha tu bichwa limejaa maji.... dadekiiiii
 
Baraka ni mshamba sana, serious tena wla siwafichi!! Nilianza kumjua km mshamba baada tuu ya kupata umaarufu n kuanza kuringishia wanawake kuanzia Tunda, Nisha ,Masaogange mpka Naj...
 
Kila nikipita mitandaon nakutana na

Baraka kamtukana LINEX
Baraka kamtukana BLUE
Baraka kamtukana Stani bakora
Baraka kamtukana msami

Si mkachape Fimbo? Kila siku kanatukana mnakaangalia tuuuuu why?
Hahahahaaa...ustaa mgumu,jamaa ana take things too personal
 
Uteam uuu unaua mzk wetu bana weee dogo msami mpk Leo n a jina lako kubwa bado unatafta kiki kuptia wcb
Poleeee tz artists
 
Back
Top Bottom