nafiaafrca
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 248
- 308
Huyu hana busara anapanik haraka kama dem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Omeraa kadata kwa kitu whitedent anataka kubadili rangi ya ukoo wao
Oh sorry nilitaka kumaanisha shule ambayo kimesoma ishazoea kupata zero so.nikajumlisha zoteEmbu zieshimu shule zetu wewe ndo tumesoma uko na tumepiga one zetu uko uko kama yeye ni ****** ni yeye
namaanisha shule aliyosoma naifahamu fika na sampo za hiyo shule wengi.ni.jiran zangukusoma kwake shule za kata si sababu .... kuna mbuzi kibao wamesoma shule zisizo za kata halafu wapuuzi kinoma...
Thanks madame. Leo nimejua pia anaitwa lollipop.Haha ndo yeye
Haha ba me hilo jina la Lollipop ndo nimelijulia humu etiThanks madame. Leo nimejua pia anaitwa lollipop.
Haha ba me hilo jina la Lollipop ndo nimelijulia humu eti
Mmh kutakuwa na kupatwa kwa sauti tehDouta hebu mtafute akutungie song moja kali, wadhamini tutajichanga changa, ila usisahau kunirusha kwenye mistari, na sisi tuanze kuzungumziwa aisee.
Mmh kutakuwa na kupatwa kwa sauti teh
hhhahaaaahaaKila nikipita mitandaon nakutana na
Baraka kamtukana LINEX
Baraka kamtukana BLUE
Baraka kamtukana Stani bakora
Baraka kamtukana msami
Si mkachape Fimbo? Kila siku kanatukana mnakaangalia tuuuuu why?
sista hiyo shangaa! halafu sijakuketa, upo?Mweee ahsante sikujuaga hilo
Haha acha tu. Nipo brodsista hiyo shangaa! halafu sijakuketa, upo?