Baraka da prince amtukana Msami

Baraka da prince amtukana Msami

Embu zieshimu shule zetu wewe ndo tumesoma uko na tumepiga one zetu uko uko kama yeye ni ****** ni yeye
Oh sorry nilitaka kumaanisha shule ambayo kimesoma ishazoea kupata zero so.nikajumlisha zote
kusoma kwake shule za kata si sababu .... kuna mbuzi kibao wamesoma shule zisizo za kata halafu wapuuzi kinoma...
namaanisha shule aliyosoma naifahamu fika na sampo za hiyo shule wengi.ni.jiran zangu
 
Huyu dogo ni mrahisi sana kumsetia skendo au kumpaka mavi, unamuundia zengwe dogo tu then unamchafua mazima hakijui kijibu nini na kipi cha kujibu au sio cha kujibu
 
Baraka atapoteza mashabiki wengi sana asipokua makini, ana tatizo kubwa sana la kishindwa kujiamini anaona kama anadharauliwa na watu hivyo anaishia kupaniki, Tatizo hajiamini
 
Back
Top Bottom