Baraka da Prince ft Ali Kiba - Jiwe la mwaka

Nimesikiliza audio ni Mbovuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu bora ya Jike shupa na Sisikii ya Maua Sama!!! Ngoja tusubiri video
 
Timu Kibakuli: "Bongeeeeeee la Ngoma"
Timu Domo: "Nyimbo mbovuuuuuu"
Mimi: "Wimbo wa Kawaida"
 
Itungwe sheria na Bunge letu kuwa ni kosa kumfananisha DIAMOND PLATNUMZ NA vitu vya hovyo,ona tofauti hapa.

DIAMOND PLATNUMZ.

ANAYO STUDIO

ANAYO OFISI

ANAYO LEBO

ANAYO BENDI

ANAISHI KWAKE.



KIBA VYOTE HIVO HANA.


Inategemea na unamfananisha katika aspect gani
 
Aisee kwa walio bahatika kuisikiliza hii ngoma mtanambia aisee, sio uwezo wa Baraka kiukweli hapa kapuyanga kwakweli, yani nilijua itakuwa ngoma yakutikisha wale timu domo ila ndo kituko tena, Ii nyimbo kwaile ya siwezi au maumivu haigusi hata kidogo.

BARAKA NDIO NINI UMELETA MZEE
 
Kama hii nyimbo ndo jiwe la mwaka basi mziki wetu unashuka kwa kasi
 
Weka nyimbo na sisi tusikilize maana ulivyoandika kama wote tumeshaisikia
 
Sijau sikia
Ntausikiliza bila bias na ku ujaji bila bias
*ahsante kwa taarifa
 
NGOJA NIUDOWNLOAD FASTER KISHA NITAKUJA KUKOMENTI
 
Dogo tatzo anakulupuka sana ona sasa alivyo puyanga,,,,, siwez ilikuwa bonge LA song ila ui upuuz was sasa ndomnafanya visingeli vizidi kuwa juu za ya bongo fleva..... Apa mmepuyanga
 
Baraka hii nyimbo yake mpya hajaandikiwa na mwandishi akokuwa akimuandikia nyuma kwani alishawahi kukataa kuwa aandikiwi kumbe anaandikiwa,,,,, sasa new song yake baati mbaya hajaandikiwa ndio kaleta janga ilo jipya..... Am big fan of baraka ila uwez compare siwezi nauu ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…