Baraka da Prince kipaji kinachoangushwa na kiburi

Baraka da Prince kipaji kinachoangushwa na kiburi

Dogo saivi kaanza kuwa garasha kama mavoco, kipindi cha 2015 anachukua tuzo ya msanii chipukizi ngoma ya siachani nawe), alikuwa fire sana,( hot cake)
 
Huyu jamaa angetulia vizuri now angekuwa mbali mnoo.
Shida ni kiburi na kujiona yeye anajua kila kitu..

Kashagombana. Na wengi waliomtoa ikiwemo mlezi wake kid bway..huyu jamaa ndo aliemtoa baraka uko mwanza ...ila jamaa kwa nyodo akaondoka.

ule wimbo wa Ben Paul moyo mashine ilikuwa aimbe baraka .kidbway alimlipa godluck gozbert aandike ila wakazinguan na baraka.ikabid apewe Ben Paul.

Baraka ana majibu mabaya mnoo kwa mashabiki huko kwenye mitandao ya kijamii.
Haoni tabu kutukana shabiki

Mfano kuna shabiki alimuulza baraka lini utatoa tena nyimbo na ruby?

Jamaa akajibu ,haitokuja kutokea kamwe ...!

Wimbo wake huu mpya (nimekoma) umemrudisha kwenye chart.maana alikuwa kapotea ..

Baraka badilika kabla ujachelewa...

Mkuu, wengi wenye sauti nzuri na wanaojua sana kuimba wana kiburi. Ukichunguza utagundua.
 
Dogo saivi kaanza kuwa garasha kama mavoco, kipindi cha 2015 anachukua tuzo ya msanii chipukizi ngoma ya siachani nawe), alikuwa fire sana,( hot cake)
Mavoko ni uzembe wake tu
 
1:Nimekoma
2:siwezi
3:siachani nawe
4:Acha niende 5:Nisamehe
6:Sometimes
7:Nivumilie ft Ruby
8:Jichunge
9:Sina ft Madee
Chalii anakipaji kinyama,,sema kiburi na hasira za kimbanga zinam'cost mjamaa
Hii ni kweli na hataki kubadilika
 
Baraka majibu yake hayajafikia ya Yule mbongo fleva/bongo movie Hemmedy Ph.d hovyo sana huyo jamaa, aliwahi kuambiwa na shabiki wake huko mitandaoni' wewe ni shoga tu na yeye akajibu nimetoka kumpikia mume wetu niko tayari kitandani nasubiri aje nimpe doggy style,karibu.'

Duh mshabiki akaona isiwe soo akala kona chap chap.
 
Kwan alikosea kujibu? Safi san kwa phd km alijibu hivyo, maan mashabiki wengine n hamnazo.
 
Alijichimbia kaburi kivip Fafanua?
Hakukuwa na haja tena ya kwenda kwa Ali ikiwa alikuwa anafanya vizuri sana na label ile ile ilikuwa inamgharamikia vizuri .

Istoshe alipata mafanikio zaidi akiwa label hiyo..
Mafahari wawili hawakai zizi moja..
Rejea mavoko na chibu
 
Back
Top Bottom