Barani Africa: msimu huu makombe yote yatachukuliwa ugenini, mmoja kupigwa nje ndani

Barani Africa: msimu huu makombe yote yatachukuliwa ugenini, mmoja kupigwa nje ndani

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU

Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini

Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani

SAYUNI BOY
 
Wengine mambumbumbuuuuu ila wawili tu
 
Kwamba Mamelodi ataifunga Pyramids ikiwa wako Misri? Hebu acha kujidanganya. Al Ahly yenyewe aliitoa semi fainal kwa kujifunga, asifikiri hilo zali la mentali litaendelea huko Misri.
 
Back
Top Bottom