Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

Kimtokacho mtu ndio kilicho ujaza moyo wake.

Wewe 'unayewaza udini udini' ndio mdini
Hivi usipowaza dini ni upagani haiingii akilini hata kidogo 'hii ni kusudi la raisi kufanya baraza la mawaziri ni dayosisi yake
 
Nawashangaa sana waislamu mnalalamika lalamika tu mnasahau kuwa top cream ya juu ya Serikali ni waislamu

Waziri mkuu muislam
Makamu wa Rais muislamu
Mkurugenzi wa usalama ni muislamu

Nenda kwa ma ded, ma das, wakuu wa wilaya na mikoa waislamu mbona wengi tu

Kipindi cha kikwete
Rais muislamu
Makamu muislamu
IGP (said mwema muislamu)
Mkurugenzi wa usalama ( othman muislamu)
Wakuu wa mshirika ya umma wengi walikuwa waislamu kina Ramadhani dau na wengine hukusikia wakristo wanalalamika you know why?

Hatumaindi vitu vidogo dogo kama hivi..

Nyinyi sasa kila kitu kwenu nongwa

Elimu Elimu Elimu
Muislam wa kweli ni hayati kighoma malima wengine ni wasalam lkn anyway ipo siku mungu atatupa haki yetu inshaallah naamini kama alivotujaalia ktk ujuzi wa biashara ambapo leo hii matajiri na vinara wa biashara tz ni waislam siwataji wanajulikana basi na dola tuaikamata tu kwa uwezo wake allah
 
Zenji ni kajimbo kama kule Tigray sema hawajachangamka kiviiiiiiile
Usikute wewe pia ni muislamu mwenzetu ila hujijui Sababu mama yako alilelewa ktk nyumba ya watawa ya kulea yatima lkn kiasili wewe ni muislamu
 
Ndugu zangu Waislam bara na visiwani msiwe mashaka. Mwenyezi Mungu yupo na atayajibu. Ila niwakumbushe mnawatu imara Sana pale juu kuanzia Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Mam Samia. Msimsahau waziri Jafo Ila Jaji Mkuu embu ndugu wa Islam msimsahau huyu Mh ktk Salah zenu mwekeni mbele za Mungu Jaji Mkuu wa Taifa. Hili. Amin
Ukilelewa misheni huwezi elewa malalamiko ya waislam tumeminywa sana ktk tawala zote lkn siku za ukombozi wetu zinahesabika inshaallah
 
Katika baraza la kwanza la mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Abeid Amani Karume alikuwa makamu wa kwanza wa rais na Rashidi Kawawa makamu wa pili wa rais...
Wewe acha ngonjera unatutajia watu saba unaona ni utetezi? Siku uamsho zinahesabika na hakuna atakaye zuia nguvu ya allah
 
Muislam wa kweli ni hayati kighoma malima wengine ni wasalam lkn anyway ipo siku mungu atatupa haki yetu inshaallah naamini kama alivotujaalia ktk ujuzi wa biashara ambapo leo hii matajiri na vinara wa biashara tz ni waislam siwataji wanajulikana basi na dola tuaikamata tu kwa uwezo wake allah
Vizuri maana hata wewe sio muislam wa kweli. Ni gharasha tu na ndio maana ukataja mmoja.
 
Ila mimi Muislam lakini ukiniambia ishu ya dini kidogo napata mkanganyikomaana vyeo vikubwa serikalini vyote wana waislam PM na Vice -President.
 
Ukilelewa misheni huwezi elewa malalamiko ya waislam tumeminywa sana ktk tawala zote lkn siku za ukombozi wetu zinahesabika inshaallah
Mungu awaamshe waislam tuwe wenye kushikamana tuondowe uoga na ubinafsi,utawala huu ni somo tosha kabisa...Namkumbuka rafikiyangu mkristo aliniambia nyinyi waislam hamjui Mugufuli anawachukia mno waislam..ilikuwa October last year....
 
Muislamu wa kwel hawez kuwa nguchiro kama ww
Mimi ni mwislam, ila alieleta mada hii ni Mjinga, unastahili tu kuelimishwa huenda ukaeleimika, ukaondokana na ujinga. Kwa hiyo ulitaka rais achague baraza la mawaziri lenye wakristo 50% na waislam 50%?. Kwa hiyo achague tu kukuridhisha wewe kwa idadi hiyo hata kama watendaji husika hawawezi kazi.......
 
Ni ajabu wenye sifa za utendaji, nidhamu na maadili kazini ikaonekana wengi wao sana wana sifa moja in common Wengi wao ni Wakiristo, Je hakuna waislamu wa kutosha wenye nidhamu, sifa za utendaji na maadili kazini?. Si bure teuzi hizi zinanuka Udini!, Huhitaji kuambiwa kuhusu udini, bali ukiuona unaujua, na mfano wa udini kwenye mambo ya kiserikali ni kwenye teuzi hizi za juzi za Magufuli
Na pia visa vikuu vya wizi wa mabilioni Tanzania....ni watu wa dini gani?
 
Nikiangalia hili baraza la mawaziri, by all standards haliakisi sura ya Taifa na kwa hiyo halisaidii kwa namna yoyote kuimarisha umoja wa Kitaifa.

1. Hivi inawezekana vipi uje na baraza la Mawaziri la watu 23 lakini lenye Mawaziri Waislamu 3 tu?
Takwimu hizi ni 87% Wakiristo, na 13% Waislamu. Je, hii maana yake ni kwamba asilimia kubwa ya watu wanaoweza kufanya kazi ya kuendesha serikali yetu katika nchi yetu more than 80% ni watu wa dini moja? Hili linaacha maswali mengi. Lakini haya sishangai, inaonyesha tu kuhusu ujeuri wa mamlaka za uteuzi, Waislamu hili suala wamelilamikia sana, Mwaka 2016 Sheikh Khalifa alilisemea, Kisha mwaka huu kwenye Waraka wa shura ya maimamu Sheikh Ponda alilisema.

Binafsi sioni kama ni weledi wa kiungozi kutoheshimu demography za nchi yako katika kuunda timu ya kufanya nayo kazi. Naiona kama ni udini wa dhahiri tu ambao unashuhudiwa na aina ya teuzi zilizofanyika toka muhula wa kwanza wa serikali hii!. Je, Waislamu wanapenda haya? - La hasha, lakini pamoja na hayo Wa kulaumiwa pia ni viongozi wao, hawajitambui, hawajielewi, wanapigana mishale wao kwa wao badala ya kusimama kwa sauti moja ya kuangalia maslahi ya watu wao. Angalau Sheikh Ponda anajitambua, aliliona hili.

2. Baraza la Mawaziri halina Waziri hata mmoja kutoka Zanzibar
Zipo wizara za muungano, hakuna waziri hata mmoja wa wizara hizo ambaye ni Mzanzibar. Ni yaleyale niliyoyasema kwenye nukta ya juu. Huwezi kuunda timu ya mambo ya nchi isiyozingatia demography za kitaifa. Kwa mfano Huwezi mathalani ukachukua watu kutoka Kanda moja ukaunda baraza la mawaziri halafu ukasema eti hawa vigezo vyao vinatosha, Well hata kama vinatosha je wao peke yao ndo wenye vigezo? . Lakini katika hili Wazanzibar wa CCM nao wajilaumu wenyewe, Wameamua kuitoa nchi yao kwa Tanganyika "iwasimamie" basi wacha nchi yao igeuzwe mkoa, yaani hata mawaziri kutoka kwao ni hiyari tena kama ilivyo mawaziri kutoka Mtwara, Mwanza au Tanga

3. Idadi ya Wanawake ni ndogo katika baraza zima la Mawaziri

Sijajua kama ilikuwa ni vision ya kitaifa au ni maono ya kiuongozi tu wa serikali za awamu ya tatu na nne. Lakini kuna kipindi tumewahi kuwaza 50/50. Japo kwa maoni yangu hiyo siyo hoja, lakini kwangu hoja ya msingi ilikuwa ni kuwa lazima katika vyombo vya mamlaka na maamuzi jinsia zote zionekane vizuri siyo kuwa na mfumo uliolalia upande mmoja kupita kiasi (mfumo dume), Sasa wanawake wa kutosha wapo, kwa nini baraza la mawaziri liwe na wanawake kiduchu sana kwenye hili baraza?

Kwa hiyo ukiniuliza kuhusu hili baraza nitakwambia kuwa:
a)
Hili baraza linanuka udini, ni as if Magufuli katuletea parokia ya Mtakatifu Joseph, haliakisi demography ya kitaifa ya kwamba nchi hii ina watu wengi wa imani zote hizi mbili. Nilitegemea kuona baraza lenye sura ya kitaifa, lakini naona baraza lenye sura ya Tanzania ya Kikristo zaidi

b) Hili ni baraza la Tanganyika, yawezekana vipi usiwe na baraza lenye waziri kamili hata mmoja Mzanzibar?

4) Ni baraza la Mfumo dume - Ratio ya akina mama katika baraza hilo siyo wakilishi, sioni ni kwa namna gani baraza hilo linasaidia kuondoa mfumo dume

Namshauri Magufuli atengue hilo baraza kabla ya kuliapisha. La sivyo litampa tabu kwenye kubalance force za kijamii za kitaifa.

Katika kipindi hiki ambapo jumuia ya kimataifa inamnyooshea kidole juu ya aina ya utawala wake, ingekuwa busara kujaribu kubalance force za ndani, ingemsaidia sana.

Ila akizidi kukataliwa ndani ya nchi na nje ya nchi, basi ajiandae kutumia miguvu zaidi kutawala katika kipindi hiki cha miaka mitano, kwa sababu kutakuwa na silent rejection ya utawala wake ndani ya nchi na hii itamsumbua sana!
Huu ni typical example ya UCHOCHEZI ULIOSHINDWA 2020! Ingawa kuna mtu mwingine alikjaribu kuuleta kwa njia nyingine lakini NAO ULISHINDWA. Watanzania HATUDANGANYIKI kiurahisi hivyo.
 
3. Idadi ya Wanawake ni ndogo katika baraza zima la Mawaziri

Sijajua kama ilikuwa ni vision ya kitaifa au ni maono ya kiuongozi tu wa serikali za awamu ya tatu na nne. Lakini kuna kipindi tumewahi kuwaza 50/50. Japo kwa maoni yangu hiyo siyo hoja, lakini kwangu hoja ya msingi ilikuwa ni kuwa lazima katika vyombo vya mamlaka na maamuzi jinsia zote zionekane vizuri siyo kuwa na mfumo uliolalia upande mmoja kupita kiasi (mfumo dume), Sasa wanawake wa kutosha wapo, kwa nini baraza la mawaziri liwe na wanawake kiduchu sana kwenye hili baraza?
Wanabodi,

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Kila nipatapo fursa, nitakuwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kusaidia nchi yetu, serikali yetu na viongozi wetu. Makala ya leo ni swali tuu, ni hoja na swali.

Hoka ni "Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa", tangu rais Samia ashike usukani, jana ndio uteuzi wake mkubwa wa kwanza wa viongozi wengi kwa mpigo. Kwa maoni yangu, kwenye uteuzi huu, nina swali, "Jee ni Kweli Tanzania Hatuna Wanawake wa Kutosha Wenye Sifa za Uongozi Kustahili Uteuzi?. Kwa maoni yangu uteuzi huu una walakin, ila Rais Samia hajafanya kosa lolote, bali tukubali, tukatae, kule nyuma, kuna makosa yalifanyika. Sasa ni jukumu letu sisi tuliibahatika kuyaona makosa hayo ya nyuma, ambayo Rais Samia ameyarithi, tumsaidiwe, rais Samia, kwa kuyataja makosa hayo, ili rais Samia asirudie makosa ya nyuma, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa, kwenye maa RC kuna kosa la gender balance, kwa vile wanakuja ma RAS, wanakuja ma DED, wanakuja ma DC, wanakuja ma DAS, tumsaidie Tanzanite Lady wetu, Mama Samia, huko mbele, tusirudie makosa!.

Kosa lenyewe ni jibu la swali hili, " hivi ni kweli kabisa, Tanzania hatuna wanawake wenye sifa, wa kutosha kufikia 50/50 ya gender balance kwenye nafasi za uteuzi?.

Kabla haujasoma hoja za bandiko hili, naomba nikupe homework ndogo ya kusoma bandiko langu hili

Kwa vile Mama Samia amejitanabaisha wazi yeye ni kama JPM, kwenye upande wa uteuzi wa JPM, we had gender problem!.

Uteuzi wa JPM, Kwa mfano idadi ya mawaziri wanawake ni 4 tu kati ya 19, hii ni asilimia 21%. wanaume ni asilimia 79%. Kwenye Baraza la Mawaziri la Samia, lina mawaziri 25, wanawake ni 6 ambao ni asilimia 24% wanaume 19 ambao ni asilimia 76%. Hivyo hapa gender imbalance imeendelezwa!.

Kwenye uteuzi wa Wakuu wa Mikoa, kati ya wakuu wa mikoa 26 wa Magufuli, wanawake ni 4 tu ambao ni asilimia 15% wakati wanaume ni 21 ambao ni asilimia 85%!. Sasa rais Samia anapita mule mule, alikopita JPM kwenye uteuzi wa wakuu wa mikoa wa Samia ameteuwa ma RC wanawake 4 tu kati ya ma RC 25, hii ni asilimia 16% ndio wanawake na wakati wanaume ni 21 ambao wanafanya asilimia 84%!.

Kwenye wakuu wa wilaya, kati ya wakuu wa wilaya 134 wa Magufuli, wanawake ni 25 tu ambao ni asilimia 18%, wakati wanaume ni 109 ambao ni asilimia 82%. Na kwa upande wa Wakurugenzi, kati ya wakurugenzi wa halmashauri na wilaya 185 wa Magufuli, wanawake ni 33 tu!, ambao ni asilimia 17% tuu, wanaume asilimia 83%.

Kwa trend reading, kama ni kweli kabisa Samia ni kama Magufuli, then you know what to expect, kwenye uteuzi wa ma DC na Wakurugenzi. Hili ni kosa, lisiachwe liendelee!.

Hii maana yake, kati ya Watanzania milioni 60, ni kweli hakuna wanawake capable wa kutosha kuteuliwa kuwa ma RC, ndio wamepatikana hao 4 tuu!. Is this so?!.

Conclusion.
Kwa vile hatukumpangia JPM nini cha kufanya, hivyo nilisisitiza tangu mwanzo, tusimpangie Samia, lakini huku kutompangia Samia, hakumaanishi tunapoona mapungufu mahali, au mambo yanakwenda ndivyo sivyo, tunawajibu wa kumshauri ili kumsaidia. Katika safari ya kuelekea gender balance ya 50/50 katika uongozi, mimi siamini kuwa Tanzania hatuna wanawake wa kutosha hadi uteuzi wa wanawake uwe that low.

Kwa fikra zangu, Naamini uteuzi huu wa ma RC ni mama Samia, ameendelea kubeba some luggages na baggages za mtangulizi wake. Hilo ni kosa!. Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa!. JPM alifanya kosa kwenye gender balance.

Gender balance kwenye baraza la mawaziri hatuwezi kulaumu, kwasababu ili mtu uwe waziri ni lazima kwanza uwe mbunge, ikitokea hakuna wanawake wa kutosha kujaza nafasi za kufikia kiwango cha 50/50, hili litaeleweka, kwasababu Mama Samia, ameingia na kuwakuta wabunge tayari wapo, ikitokea wabunge wote hadi wa viti maalum, hawana sifa za uwaziri, hatuwezi kulaumu, kwasababu sio kosa lake. Huwezi tuu kujiteulia watu hawana sifa ili tuu kutimiza gender balance. Lakini kwenye ma RC, ma DC , ma RAS, ma DAS ns na DED, yaani Wakurugenzi, haiwezekani Tanzania ndani ya hii milioni 60, wakakosekana wanawake wenye sifa.

Naamini rais Samia, kaletewa majina na kuongeza wachache tuu, hivyo sasa tunamuomba, kwenye ma DC, ma RAS, ma DED na ma DAS, awatendee haki wanawake wa Tanzania.

Nisimalize bila kumpongeza Mama Samia kwanza kwa ku heal the nation kwa kutenda haki, na pili ni pongezi kwa kuyaishi maneno yake ya kuteua yoyote hata kutoka upinzani.

Tanzania ni yetu sote,
Mungu mbariki Mama Samia.
Mungu ibariki Tanzania.

Paskali
 
Itakuwa ni kituko kuwa na RAS,DC AU DED wa viti maalumu.
 
Naipenda sana hii "kwa maslahi" iende hadi kwa wale jamaa zetu kina yakhe, nimejiridhisha teuzi zote huwa hawazidi asilimia 30, sina hakika kama ni kweli upande wao unauhaba
 
Back
Top Bottom