Hujui kwamba uwaziri ni nafasi ambayo ina marupurupu mengi sana?, faida hii ya kipato ina maana familia ya waziri itakuwa na nafuu sana kiuchumi , watoto wake watasoma shule nzuri zaidi, kupata elimu bora zaidi, kupata bima za afya bora zaidi, kuishi makazi bora zaidi, Na hii faida itawagusa hata ndugu za hao mawaziri. Sasa keki hii ya Taifa inapogawiwa kwa watu wa imani moja maana yake ni kuwa taasisi moja tu ya baraza la mawaziri tayari inaenda kuchangia katika tabaka kwa watu wa imani moja kunufaika zaidi na keki hii ya Taifa kuliko wenzao. Sasa hebu mfano huo uurejee kwenye teuzi nyingine nyingi zilizobaki kama vile wakurugenzi, manaibu waziri, ma DC, ma RC ma DAS, ma DED, Mabalozi wawe majority wa dini moja kama Magufuli alivyowateua utaona kuwa kipato kitokanacho na utumishi katika serikali kinakwenda kwa watu wa dini moja zaidi na hivyo kufanya watu hao waenjoy keki ya Taifa zaidi kuliko watu wa dini ya pili.
Faida za kiuchumi zitokanazo na nafasi hizo za utumishi zinakuwa transmitted kwa familia na matokeo yake watoto wao wakipata elimu bora, kuishi nyumba bora, afya bora kutokana na vipato vile basi cycle inajirudia tena huko mbeleni ndo wataendelea kupata fursa zaidi kuliko wenzao wanaowekwa pembeni katika teuzi hizi
Teuzi za udini zinafanya familia za wateuliwa ambao ni wa dini moja kunufaika na keki ya Taifa zaidi na hivyo kuziempower kuliko familia nyingi tu zilizowekwa pembeni, na hii effect ya itakuwa propagated kwa vizazi vingine vijavyo kwa sababu kuna watu wamejengewa msingi mzuri kiulaini na kwa kupendelewa huku wengine wakihustle tu na kutonufaika na fursa za utumishi wenye marupurupu mazuri, Ni dhahiri waliojengewa msingi mzuri wataendelea kuwa top ya hawa wanaobaguliwa japo na wao vigezo vya kukalia nafasi hizo