Pitia orodha ya mawaziri waliopita na hawa wa sasa,pitia orodha ya wakuu wa mikoa wa sasa,pitia idadi ya ma DC wakurugenzi,mashirika,pitia wakuu wa idara kila halmashauri,wakuu wa vitengo utakuta wakristo ni zaidi ya 80% ,Bakwata hawawezi kulisema sio kwasababu hawajui ni kwasababu wananufaika na ubaguzi huu kupitia pesa wanazolipwa ili kuwanyamanzisha.
Tunayaona na hata wakijitahidi kuficha lkn wahusika watambue wanapanda mbegu mbaya.
Ile hoja kwamba waislaam hawakusoma haina nguvu maana kwa sasa kuna PHD zaidi ya maelfu za waislaam,
Uadilifu kwa waislaam ni mkubwa,mfano wa uadilifu wa waislaam ni Prof Asad,lkn kawekwa pembeni si kwasababu hakusoma au ni mbadhilifu,bali ni kwasababu ambazo hata wewe unazijua zipo wazi.
Matokeo ya kujaza wakristo wengi kwenye nafasi za juu ni upendeleo kwenye ajira,watu wakituma maombi ya kazi,wanaowajadili utakuta sehemu nyingine ni wakristo watupu,kijana wa kiislaam anaetaka ajira atapita wapi?
Nenda kasome orodha ya walimu waluoajiriwa juzi,halafu ujihoji kimoyomoyo kama ajira zile hazinuki udini,ni kwa sababu waliofanya maamuzi nani.aajiriwe na nani asiajiriwe ni parokia.
Mfano kama wa Asad upo kila Idara,lkn Kanisa linazidi kujichimbia mizizi kupitia vijana wao walioandaliwa vizuri kwenye makanisa.
Lakini ifahamike kuwa hii nchi ni yetu sote,hakuna wenye haki zaidi ya wenzao.