Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

Katika baraza la kwanza la mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Abeid Amani Karume alikuwa makamu wa kwanza wa rais na Rashidi Kawawa makamu wa pili wa rais.

Wazanzibari katika baraza hilo la Serikali ya Muungano wa Tanzania walikuwa ni pamoja na Aboud Jumbe, waziri wa nchi katika ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais; Abdulla Hanga, waziri wa viwanda, migodi na nishati; Abdulrahman Mohamed Babu, waziri wa nchi katika Ofisi ya Rais na Kurugenzi ya Mipango; Hassan Nassor Moyo, waziri wa sheria na Idrisa Abdul Wakil, waziri wa habari na utalii.

Asmara, Eritrea


Abdulrahman Mohammed Babu of Tanzania was friend of Eritrean struggle.
 
Usinipangie!!
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
[emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rais anateua baraza la Mawaziri kwa kushauriana na Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Hao wote ni Waislamu kwani wao hawakuliona hilo?

Ishu ya wanaweke wacha wakae nyumbani watulee.

Wazanzibar na wenyewe wana nchi yao. Anyway Mbarawa ameniumiza moyo kukosekana kwenye baraza la mawaziri.

Anyway today is Sunday take your Bible and go to your nearest church.
Aliteuliwa Philip Mpango na Paramagamba Kabudi kuwa mawaziri wa fedha na mambo ya nje bila uwepo wa Waziri mkuu mwenye mamlaka kamili.
 
Pitia orodha ya mawaziri waliopita na hawa wa sasa,pitia orodha ya wakuu wa mikoa wa sasa,pitia idadi ya ma DC wakurugenzi,mashirika,pitia wakuu wa idara kila halmashauri,wakuu wa vitengo utakuta wakristo ni zaidi ya 80% ,Bakwata hawawezi kulisema sio kwasababu hawajui ni kwasababu wananufaika na ubaguzi huu kupitia pesa wanazolipwa ili kuwanyamanzisha.

Tunayaona na hata wakijitahidi kuficha lkn wahusika watambue wanapanda mbegu mbaya.

Ile hoja kwamba waislaam hawakusoma haina nguvu maana kwa sasa kuna PHD zaidi ya maelfu za waislaam,

Uadilifu kwa waislaam ni mkubwa,mfano wa uadilifu wa waislaam ni Prof Asad,lkn kawekwa pembeni si kwasababu hakusoma au ni mbadhilifu,bali ni kwasababu ambazo hata wewe unazijua zipo wazi.

Matokeo ya kujaza wakristo wengi kwenye nafasi za juu ni upendeleo kwenye ajira,watu wakituma maombi ya kazi,wanaowajadili utakuta sehemu nyingine ni wakristo watupu,kijana wa kiislaam anaetaka ajira atapita wapi?

Nenda kasome orodha ya walimu waluoajiriwa juzi,halafu ujihoji kimoyomoyo kama ajira zile hazinuki udini,ni kwa sababu waliofanya maamuzi nani.aajiriwe na nani asiajiriwe ni parokia.


Mfano kama wa Asad upo kila Idara,lkn Kanisa linazidi kujichimbia mizizi kupitia vijana wao walioandaliwa vizuri kwenye makanisa.
Lakini ifahamike kuwa hii nchi ni yetu sote,hakuna wenye haki zaidi ya wenzao.
 
Alishasemaga yeye hapangiwi. Hufanya anavyojisikia yeye. Hajui kua uongozi ni kubeba mawazo ya unaowaongoza na siyo mawazo yako binafsi. Kuna watu watapongeza na kupiga makofi
 
b) Hili ni baraza la Tanganyika, Yawezekana vipi usiwe na baraza lenye waziri kamili hata mmoja Mzanzibar?

Naomba nifahamishwe pia kwenye Baraza la Mawaziri Zanzibar kuna mtanganyika alishawahi kuteuliwa nafasi ya uwaziri[emoji23]
Wapi ulishuhudia Rais wa Zanzibar akatoka huku bara? Lakini Rais wa Zanzibar alishawahi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Uliwahi kujiuliza hilo?

Shamsi Vuai Nahodha ni Mzanzibar lakini aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani kipindi cha Kikwete.

Ulishawahi kujiuliza hilo?
 
Katika baraza la kwanza la mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Abeid Amani Karume alikuwa makamu wa kwanza wa rais na Rashidi Kawawa makamu wa pili wa rais.

Wazanzibari katika baraza hilo la Serikali ya Muungano wa Tanzania walikuwa ni pamoja na Aboud Jumbe, waziri wa nchi katika ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais; Abdulla Hanga, waziri wa viwanda, migodi na nishati; Abdulrahman Babu, waziri wa nchi katika Ofisi ya Rais na Kurugenzi ya Mipango; Hassan Nassor Moyo, waziri wa sheria na Idrisa Abdul Wakil, waziri wa habari na utalii.
Malcom X kushoto akiwa na Abdulrahman Babu kuliaMalcom X kushoto akiwa na Abdulrahman Mohammed Babu kulia 1964.
namkubaligi sana huyu kamarada AbdulRahman Mohamed Babu.yan kaanza kwende mbele mbele toka miaka hio aisee !! hapo new York hio yan kapanda ndege babek
 
Udini upo nakila kona umetamalaki,japo wanaonufaika na udini wajitahidi kuzima mada wakidhani waislaam hawana uwezo wa kutambua kinachoendelea
Wale wanaonufaika na mfumo wa udini nchini wanaweza kumponda Magufuli kwenye kwenye mambo mengi tu kuanzia staili ya uongozi wake lakini linapokuja kwenye maslahi yao ambapo wao hunufaika kwa udini wake basi humtetea kwa nguvu zote ikiwemo kutumia matusi na kejeli kuwavurumishia wanaohoji mambo haya.
Tanzania kuna udini wa chinichini mbaya sana, na haya anayofanya Magufuli ni kuwa sasa umekomaa unataka kuionyesha waziwazi
 
Moja: Balaza la mawazili ni pamoja na manaibu, je manaibu wale hujawaona?!?

Mbili: Balaza la mawazili ni pamoja na Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu, Raisi wa Zanzibar, hawa nao ni makafiri?!? ewe uliyedini ya 'kweli'

Tatu: Nafasi za uongozi si zawadi, kwa dini, makabila, mikoa; hadi liwe ni swala la kufa na kupona, kwamba ni lazima dini, kabila, mkoa upate
Kwahiyo kwenye vikao vya baraza la mawaziri ulishawahi kusikia manaibu waziri wakihudhuria vikao?
 
Tukianza kuangalia vigezo hivyo hakika hakutakuwa na teuzi.Maana ukimaliza ya udini na uzanzibari utakuja ya ukabila kusema baraza zima ni wachaga,wasukuma n.k ukimaliza hapo utakuja na baraza zima halina waziri kijana,mzee n.k kwa kifupi vigezo vyote vikizingatiwa ni mwanzo wa kupata watendaji wabovu na kigezo kikuu na cha muhimu kati ya vyote ni utendaji uliotukuka! Tukianza kuangalia vigezo vingine ni mwanzo wa kupata viongozi wasio na tija kwa taifa kisa tu kuzingatia swala la dini,uzanzibari,wanawake,umri n.k jambo ambalo litarudisha juhudi za taifa nyuma.
Ndio maana ya uongozi,huwezi kujaza watu wa kabila lako eti kwasababu ulisoma nao au unafahamu utendaji wao.
Nchi ni very complicated,unazingatia umikoa ili kila.mkoa upate uwakilisha,jinsia ili jinsia zote zipate uwakilisha,dini ili.dini zote zipate uwakilishi,vigezo ni vingi sana na usipovizingatia lazina utaonekana umependelea na ukweli madhara yake tuneanza kuyaona kwenye ajira zinazotoka sasa,wanaweza kuajiriwa watu 100 ukaona waislaam wawilli tu,hii ni kutokana na ukereketwa wa wanaofanya maamuzi kupendelea watu wa dini yao
 
Usilete udini wewe mtu nenda kwenye kamati kuu ya Chadema kaangalie hayo yote uliyosema Kama ratio iko sawa,nenda Bavicha alikadhalika Bawacha angalia pia na wajumbe wa mabaraza la Chadema Kama ratio inafiti.Unapounda serikali hakuna kigezo Cha udini au ukabila unaangaliwa uwezo wa mtu kufanya kazi hata hivyo kwa taarifa yako si ajabu Rais ajaye wa Tanzania akawa tena mkristo
 
Angekuwa muislam ndo kateuwa hivo waislam wenziwe hizo waraka zingetembea leo mskanisani so mchezo.
 
unakuta waziri na katibu ni mlengo mmoja.. ukienda huko barazani utakuta wote wako na mlengo mmoja, hii inapelekea hata wanaoajiriwa kwenye hiyo wizara wengi wanakuwa wa mlengo mmoja, balance inakosekana na kupelekea mwenye mlengo tofauti kuona wanatengwa, na huo ndio ukweli na ndio muelekeo
 
Nawashangaa sana waislamu mnalalamika lalamika tu mnasahau kuwa top cream ya juu ya Serikali ni waislamu

Waziri mkuu muislam
Makamu wa Rais muislamu
Mkurugenzi wa usalama ni muislamu

Nenda kwa ma ded, ma das, wakuu wa wilaya na mikoa waislamu mbona wengi tu

Kipindi cha kikwete
Rais muislamu
Makamu muislamu
IGP (said mwema muislamu)
Mkurugenzi wa usalama ( othman muislamu)
Wakuu wa mshirika ya umma wengi walikuwa waislamu kina Ramadhani dau na wengine hukusikia wakristo wanalalamika you know why?

Hatumaindi vitu vidogo dogo kama hivi..

Nyinyi sasa kila kitu kwenu nongwa

Elimu Elimu Elimu
Labda ulikuwa mtoto, wakristu walilalamika sana tu! Mpaka nyaraka zilikuwa zinatolewa na maaskofu!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Usilete udini wewe mtu nenda kwenye kamati kuu ya Chadema kaangalie hayo yote uliyosema Kama ratio iko sawa,nenda Bavicha alikadhalika Bawacha angalia pia na wajumbe wa mabaraza la Chadema Kama ratio inafiti.Unapounda serikali hakuna kigezo Cha udini au ukabila unaangaliwa uwezo wa mtu kufanya kazi hata hivyo kwa taarifa yako si ajabu Rais ajaye wa Tanzania akawa tena mkristo
Hapa tunazungumzia mambo ya serikali wewe, mambo ya CHADEMA yaanzishie mada yake
 
What a scumbag,yaani Rais ndio unataka aanze kuchagua mawaziri kisa waislamu,hats hao ambao ni wakristo hawajachaguliwa kutokana na ukristo wao,mbona mnaendekeza sana udini
 
Kwa hiyo hicho kikao cha baraza la mawaziri kitakuwa kama misa ya jumuiya, kigango au Parokia?
Mzee alishasema hapendi kuchanganyiwa watu, anataka cream ya watu wenye background zinazofanana, kama kisiasa, kiimani, kijinsia, kikabila na kikanda.

Mitano tena.
Baada ya kushindwa vibaya kwenye chaguzi zote mmekosa hoja mnataka kuchonganisha Taifa kwa udini na ukabila .Imekula kwenu mmeishiwa agenda kifo cha Mende
 
Back
Top Bottom