Acha kujidanganya,Kenya waliiharibu watu wajinga kama wewe,walichaguana kikabila halafu wakawa wanasema Rais hawezi kuzingatia kabila la mtu wakati wa uteuzi matokeo yake ukabila kenya umeota mizizi.What a scumbag,yaani Rais ndio unataka aanze kuchagua mawaziri kisa waislamu,hats hao ambao ni wakristo hawajachaguliwa kutokana na ukristo wao,mbona mnaendekeza sana udini
Nenda Msumbiji mkuu ukajiunge na wale wenzako mje kumpindua MaguPitia orodha ya mawaziri waliopita na hawa wa sasa,pitia orodha ya wakuu wa mikoa wa sasa,pitia idadi ya ma DC wakurugenzi,mashirika,pitia wakuu wa idara kila halmashauri,wakuu wa vitengo utakuta wakristo ni zaidi ya 80% ,Bakwata hawawezi kulisema sio kwasababu hawajui ni kwasababu wananufaika na ubaguzi huu kupitia pesa wanazolipwa ili kuwanyamanzisha.
Tunayaona na hata wakijitahidi kuficha lkn wahusika watambue wanapanda mbegu mbaya.
Ile hoja kwamba waislaam hawakusoma haina nguvu maana kwa sasa kuna PHD zaidi ya maelfu za waislaam,
Uadilifu kwa waislaam ni mkubwa,mfano wa uadilifu wa waislaam ni Prof Asad,lkn kawekwa pembeni si kwasababu hakusoma au ni mbadhilifu,bali ni kwasababu ambazo hata wewe unazijua zipo wazi.
Matokeo ya kujaza wakristo wengi kwenye nafasi za juu ni upendeleo kwenye ajira,watu wakituma maombi ya kazi,wanaowajadili utakuta sehemu nyingine ni wakristo watupu,kijana wa kiislaam anaetaka ajira atapita wapi?
Nenda kasome orodha ya walimu waluoajiriwa juzi,halafu ujihoji kimoyomoyo kama ajira zile hazinuki udini,ni kwa sababu waliofanya maamuzi nani.aajiriwe na nani asiajiriwe ni parokia.
Mfano kama wa Asad upo kila Idara,lkn Kanisa linazidi kujichimbia mizizi kupitia vijana wao walioandaliwa vizuri kwenye makanisa.
Lakini ifahamike kuwa hii nchi ni yetu sote,hakuna wenye haki zaidi ya wenzao.
Ficha ujinga wako mkuuMada mfu kabisa! Unataka kuchonganisha kwa kutumia dini, uzanzibara. Uzuri ni kwamba wananchi wameshachoka na propaganda zenu, wao wanafanyiwa wanachotaka.. angalia vituo vya afya, Hosp, barabara, shule, n.k nk
Sasa wa kuacha udini si angekua mteuaji ambae wakati wa kuteua amefuata udini?Au hilo milioni?Hebu tuache sera za udini, udini sio kigezo cha kumchagua mtu kushika nafasi fulani hao waliochaguliwa wana vigezo tosha kuliko hao unaofikiria walitakiwa kuchaguliwa na kumchagua mtu kisa ni dini fulani ni uvivu wa kufiri.
wakristu HAWAKO HIVO JUA HILORais angekuwa ni muislamu na akateua waislamu wakutosha (kama nusu tu ya baraza zima), leo jumapili makanisani zingesomwa nyaraka za maaskofu kuipinga serikali, mahubiri na maombi yangekuwa ni kuipinga serikali, wakristo wangeambiwa wafunge siku kadhaa dhidi ya uislamu kushamiri hapa Tz nk.
Viongozi wa kikristo nawajua vizuri.
Mkuu mbona kama vile nchi hii dini ni Uislamu na Ukristo tu? Sijasikia ukilalamika kutokuwepo kwa wawakilishi wa wahindu.. Wabuddha na wapagani.. Wao Tanzania sio yao?Huwa mnaungana pamoja na kuteteana kwenye maslahi ya watu wa dini yenu.
Nahisi ningeishia kutaja wanawake na wazanzibar peke yake mgeunga mkono hoja, ila kitendo cha kutaja kuhusu umuhimu wa kuwepo kwa notable inclusiveness ya waislamu kwenye baraza mmeona hii mada haijakaa sawa hahaha
Kemeeni teuzi za udini, nchi hii ni yetu sote
Lakini tutaendelea kulisema hili maana halijakaa sawa
Nimeandika kama hujanielewa usinikurupukie nilijua mtakuwepo ndio maana nikaandika hivyoKwann akemee uteuzi, kwani kigezo mojawapo ni dini? So far Serikali haina dini. Acheni mawazo potofu.
Ila we jamaa japokua post yako inakera na ina takwimu za uongo ila umenichekesha sana fala wewe.Eti leo sikukuu rudini nyumbani😂😂😂😂Tupe na demographic data za dini Tanzania bara. Yani wakristo ni % ngapi na waislam ni % ngapi? Hii itatupa mwanzo mzuri. Maana statistucs zinasema kwa Tanzania nzima Christianity ni 61%, Islam ni 36%. Hiyo ni ukijumlisha na Zanzibar/Tanzania visiwani ambao zaidi ya 95% ni waislam.
Sasa ukiitoa Zanzibar unashangaa kukutana na 13%?? Unachotakiwa kujua ni kwamba kwa Tanzania bara waislam ni wachache sana. Usijione unakaa mikoa yako ya pwani kama Tanga, pwani na Dar (Dar ina mchanganyiko) ambayo ina waislam ukafikiri Tanzania yote iko hivyo. Sisi tumekaa mikoa mingine hata sikukuu ya Idi mnakuwa hamuijui kiasi kwamba siku yenyewe na shule mnaenda kama kawaida, mkishafika shule mwalimu ndo anawatangazia leo ni sikukuu ya waislam (Iddi) mrudi nyumbani.[emoji2][emoji2]View attachment 1642857
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!!Kwani ni lazima kuteua waziri toka huko wapi katiba imesema hivyo mbona wao hawateui toka bara!
Lugha inakupa tabu?!?