Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Hawa ni kama big G iliyoisha utamu,ni kutemwa tu,ccm iliwatumia,sasa hawana jipya,hawana maajabu Tena,
Ila bungeni kuzuri jamani,Dada zetu wamenenepa,wamenawili,mizigo imejaa hatari.
 
Maamuzi sio ya Tulia ni chama. Viti maalum chama kinaweza muda wowote kufuta orodha na kupeleka nyingine. Maana viti maalum wanateuliwa na chama sio kupigiwa kura na wananchi.
Wakanywe maji wapoe, walilitegemea hili, siyo kama ni surprise!
They had it coming!

Hii iwe fundisho!
 
Ndugu, umefatilia Jana hotuba ya Mh. Mbowe ni kwamba Rais alimuita kupanga kikao Kati ya serikali na Chadema. Kitakachokuwepo wiki ijayo. Serikali wajumbe kumi na chadema wajumbe kumi.
Serekali ikiwapakata sana hawa jamaa huwa wana nongwa sana, lazima wawekewe ukali kadogo,na hicho kikao ni cha nini sana?
 
Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu

Nimeshakuambia ww ni mjinga fulani, ile heshima uliipata hapa ndio imeisha kabisa. Nenda kajibebishe kwa kigogo tu huko twitter.
 
Yani kwa Ile statement ya Mbowe kwamba yeyote atakayesaliti chama hatavumiliwa nilijua kabisa Covid imekula kwao.

Anyway wameshatengeneza hela ya kutosha na Kama wamechukua mikopo dhamana ni mshahara wa ubunge hivyo serikali italipa huo mkopo.

Magufuli na Ndugai walituharibia sana bunge. Anyway wapumzike waende CCM Sasa waone Kama watapewa nafasi kule.
Mkuu Unadhani Hela ni issue sana kwa mtu anaejielewa? Heshima waliyokuwa wanaipata kabisa yakusaliti chama ilikuwa ni kubwa sana kuliko Hela wanazopata....wanishi kwa mashaka makubwa...SoMo lililopatikana hapa hapa
Usimtegemee mwanadamu maana HUFA..kumbuka hawa walipewa Jeuri na Jiwe KAFA...akabaki Ndugai Kafukuzwa kazi
 
Yaani mie zaidi nilisikitishwa na hawa wote ambao walikuwa wapambanaji, na kupitia shuruba zote za mara kufungwa na wananchi hadi kuwachangia kuwatoa gerezani kutokana na vile walivyoaminiwa, but mwisho wa siku wakadanganyika kiraisi kwa uchu wa vipande sijui vya pesa...eish Halima Mdee &Co..you really let us down..
Don't trust a woman
..kumbuka mwanamke alivyoumba kufumbua macho kitu Cha kwanza kuona ni DUSHE so usiamini mwanamke ever forever!
 
Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Na tusikuone tena humu kama ulivyoahidi vinginevyo tutasusia thread na comments zako. Umekuwa wa ovyo kuliko hata neno lenyewe.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Zitto mwenyewe amekiri katika makosa makubwa aliyofanya katika Maisha yake ni kuondoka Chadema. Kwa huu mwaka mmoja akina Halima wamekuwa na impact gani?. Dr Slaa, Masinji etc wameshindwa kukivunja chama sembuse Hawa akina Halima Mdee waliochuja?. Waende CCM au ACT .

Umesahau wale wanawake ambao 2020 walihma chama kwa visingizio vingi, Leo wapo wapi?. Alfred Rwakatale aliyehama chadema kwa mikwara yupo wapi leo?. Chadema ilishindwa kuvunjwa na jiwe sidhani Kuna wakuivunja zaidi ya Mungu mwenyewe.
Umesema yote mkuu ! Samaki ana nguvu akiwa kwenye maji tu
Watu wanatakiwa wajue hata huko ccm sio kwamba wote wanavumilia sababu wanapenda chama Ila ukitoka unakuwa useless huaminiki wanaotoka wanaishia kurudi ccm
 
Back
Top Bottom