JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Wakanywe maji wapoe, walilitegemea hili, siyo kama ni surprise!Maamuzi sio ya Tulia ni chama. Viti maalum chama kinaweza muda wowote kufuta orodha na kupeleka nyingine. Maana viti maalum wanateuliwa na chama sio kupigiwa kura na wananchi.
Usisahau aliomba msamaha kuwa asamehewe lakini msamaaha ukakataliwa. Karma ndio ilimuondoa ndugai kwenye uspika.
Wakuu wa chama wanaanza kupigana vikumbo ili small house zao ndio wateuliwe.Baada ya hapo nini kinafuata?
A very good observation!Yani chadema sijui Kuna nini?. Ukiondoka na ushawishi unapotea kabisa. Akina Nassari pamoja na ukuu wa Wilaya hamna kitu Wala ushawishi.
Tofauti ya drama ya kutengeneza ni ipi hapo?
Huo mstari wa katikati, ningependa ukorezwe zaidi, na ninakuhimiza mkuu 'championship', uutumie mara kwa mara kutukumbusha sote.Msaliti haachiwi hata siku moja.
Lazima tuwe na taifa lenye watu wenye msimamo thabiti.
Usimtegemee mwanadamu hata siku moja. Muda huu tumaini lao lipo pale chato kwa chini.
Serekali ikiwapakata sana hawa jamaa huwa wana nongwa sana, lazima wawekewe ukali kadogo,na hicho kikao ni cha nini sana?Ndugu, umefatilia Jana hotuba ya Mh. Mbowe ni kwamba Rais alimuita kupanga kikao Kati ya serikali na Chadema. Kitakachokuwepo wiki ijayo. Serikali wajumbe kumi na chadema wajumbe kumi.
Tamaa ya fedha ilimponza Yuda.Halima sijui kilimsibu nini adi kubadilika gafla na kuwa bandidu
Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Chama cha kikatili mno.
Mleta mada hujaconfirm habari kabla ya kupost??
Mkuu Unadhani Hela ni issue sana kwa mtu anaejielewa? Heshima waliyokuwa wanaipata kabisa yakusaliti chama ilikuwa ni kubwa sana kuliko Hela wanazopata....wanishi kwa mashaka makubwa...SoMo lililopatikana hapa hapaYani kwa Ile statement ya Mbowe kwamba yeyote atakayesaliti chama hatavumiliwa nilijua kabisa Covid imekula kwao.
Anyway wameshatengeneza hela ya kutosha na Kama wamechukua mikopo dhamana ni mshahara wa ubunge hivyo serikali italipa huo mkopo.
Magufuli na Ndugai walituharibia sana bunge. Anyway wapumzike waende CCM Sasa waone Kama watapewa nafasi kule.
π π π βββUamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Don't trust a womanYaani mie zaidi nilisikitishwa na hawa wote ambao walikuwa wapambanaji, na kupitia shuruba zote za mara kufungwa na wananchi hadi kuwachangia kuwatoa gerezani kutokana na vile walivyoaminiwa, but mwisho wa siku wakadanganyika kiraisi kwa uchu wa vipande sijui vya pesa...eish Halima Mdee &Co..you really let us down..
Na tusikuone tena humu kama ulivyoahidi vinginevyo tutasusia thread na comments zako. Umekuwa wa ovyo kuliko hata neno lenyewe.Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Umesema yote mkuu ! Samaki ana nguvu akiwa kwenye maji tuZitto mwenyewe amekiri katika makosa makubwa aliyofanya katika Maisha yake ni kuondoka Chadema. Kwa huu mwaka mmoja akina Halima wamekuwa na impact gani?. Dr Slaa, Masinji etc wameshindwa kukivunja chama sembuse Hawa akina Halima Mdee waliochuja?. Waende CCM au ACT .
Umesahau wale wanawake ambao 2020 walihma chama kwa visingizio vingi, Leo wapo wapi?. Alfred Rwakatale aliyehama chadema kwa mikwara yupo wapi leo?. Chadema ilishindwa kuvunjwa na jiwe sidhani Kuna wakuivunja zaidi ya Mungu mwenyewe.
Hamkisi kupiga ramli.Kwani katiba ya chadema inasema rufaa ya MTU inapaswa kusikilizwa baada ya mda ganii?? Maana ni zaidi ya mwaka sasa toka rufaa hiyo imepelekwaa?? Maana isijeikaonekana kikao hicho kisijeonekana ni batiriii.