Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Salama yao kurudi ccm ingawa huko nako jiwe ndio alikuwa anagawa vyeo kwa mamluki nowadays wenye chama wamekaza
Mpaka dakitari wa mihogo anamaliza hou Media ili asikike kuwa yupo lkn wapiii watawala waliopo wamemkazia
watu wakumbuke walikotoka na waheshimu bila chadema nani alimjua Slaa .. Zitto au Halima na wasaka fursa wenzie
 
Ndugu elewa kwamba walikata Rufaa kupinga kufukuzwa uanachama. Ndio maana ilibidi baraza kuu likae na kujadili Rufaa yao na baadae kutoa maamuzi.
Kikao kinapaswa kuketi baada ya mda ganiii, pindi kipatapo barua ya rufaa??
 
Serekali ikiwapakata sana hawa jamaa huwa wana nongwa sana, lazima wawekewe ukali kadogo,na hicho kikao ni cha nini sana?
Pole sana masalia ya Jiwe nenda kazikwe nae mnadhani mmejimilikisha Nchi hii
 
This is CHADEMA..Mungu zidi kukibariki hiki chama..[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Walivuna walichopanda walikuwa wanapewa kiburi na mwendazake na Ndugai leo wako wapi?
 
C kamati kuu ikikaa ilichelewa kukaa sababu mwenyekit alikua nyuma ya nondo gaidi[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Nyuma ya nondo alienda baada ya zaidi ya nusu mwaka toka hao mabinti wakate rufaa yaooo. Pia mwenyekiti hakwenda na office ya chadema
 
Inapendeza wadada wakienda ACT ili ulaji wao uendelee! for me wahuni at work!

sijawahi kuwaona kama chama bali genge flani tu la kusaka "mawe" mjini.

ni kawaida ukikulia Chuga kupata hela ni must ila tumia njia yoyote. Yaani the end justify the means!

ukiwa na akili peleka mtoto wako akulie kule Chuga utashangaa akikua anavyopenda pesa kuzidi Bwana Makengeza!!
 
Watamkuta Kibatala kwenye geti la Kisutu.
Hata wakienda mahakamani ni kusogeza muda tu,ni bora kukaa pembeni kuheshimu maamuzi ya chama.Labda kuna siku wakasamehewa kabla ya 2025 wakajipanga upya kuwania nafasi za uongozi.
Lakini pammoja na hayo wamekitumikia chama,na kupitia vikwazo vingi,kusweka ndani mara kwa mara na kufunguliwa kesi za kubumba.
 
Acha kupanikiii. Mahakama inazingatia sheria. Hivyo lazima katiba ya chadema ichukuliwe na kisha isomwe ilikubaini kama kama haki inafuatwa kwa mjibu wa katiba ya chadema. Na muache kupaniki kabisaa
Yaani mwenyekiti atoke kuongea na mkuu wa muhimili uliojichimbia zaidi then eti mahakama?
 
Acheni kuwakandamiza kwa kuwatishia wanasheria wenu kandamizi dhidi ya akinamama. Kwenda mahakamani ni haki yao. Acheni kuwatisha, etiwatulie mbeleni mtawasamehe kwa kosa lipi mpaka waombe msamahaa. Tunataka sheria ichunguze na itoe hakiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…