Baada ya hapo nadhani breki ya kwanza ni kwenye UMOJA PARTY !!Kamuulize Halima
Ulivyomweipe kichanii hadi unatia kinyaa. Kwhyo chadema inafanya maamuzi kwa kutumia nukuu za akina Sofia simba?? Kesi ya akina Sofia simbi nisawa na hao wabunge 19? Acheni wamama wawatu watafute haki yao inje ya katiba ya chama chenuu. Nihaki yaooMbona unateseka sana dogo? Muulize Sophia Simba na Membe watakuelimisha vizuri kuhusu hili.
Na atakaudha kimya kama hakuna kitu kimrtokea vile[emoji28][emoji28]Ikitokea tulia akagoma kuwafukuza itakuwaje
Walishafukuzwa ila Wakakata rufaaKumbe walikuwa hawajafukuzwa?!
Hakuna chama chochote chenye kilichosajiriwa kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya Tanzania chenye mamulàka ya kumtimua mwanachama yoyote kizembe, kwa sababu ni haki ya kikatiba RAIA kuwa mwanachama wa chama akipendacho. Na hata cheria na kanuni za kumlinda mwanachama yoyote ndani ya chama chake zipoo.Uanachama hauganganiwi kama mpira wa kona,kwenye medani ya vyama vya siasa.Wakikukataa ina maana hawakuitaji,unasepa au unaomba msamaha.
Pammoja na hayo zipo sifa za kuwa mwanachama na pia zipo kanuni za kuvuliwa uanachama.
Duh, eti Tulia ni Betina!!Lazima mchanganyikiwe paka shume nyie. Magodifaza wao na mabwana zenu hawapo tena. Mama anaupiga mwingi, hawezi kukaa upande wa dhalimu. Ngoja Betina (Tulia) wenu naye ajichanganye muone kitakachomtokea.
Waji ajiriBaada ya hapo nini kinafuata?
View attachment 2221209
Ex-Fifa president Blatter and ex-Uefa boss Platini charged with fraud - BBC News
Sepp Blatter and Michel Platini, former world and European football heads, are charged with fraud.www.bbc.co.uk
Kuna na kesi nyingine iliyofunguliwa N.Y
Katiba ya chama cha siasa au taasisi yoyote ndani Tanzania hazipo juu ya sheria za kazi na katiba ya nchi.
Chama cha siasa ni public property, ukishachukua kadi tu unakuwa equal shareholder hivi sio vikundi vya watu wachache wenye kutaka kulazimisha agenda zao tena zisio consitent.
Ulivyomweipe kichanii hadi unatia kinyaa. Kwhyo chadema inafanya maamuzi kwa kutumia nukuu za akina Sofia simba?? Kesi ya akina Sofia simbi nisawa na hao wabunge 19? Acheni wamama wawatu watafute haki yao inje ya katiba ya chama chenuu. Nihaki yaoo
babukijana....Nakuona SheikhRuzuku inatakiwa iende ushirombo bila mgao,haijafika.
Mwene Saccos kakasirika.
Ccm mnateseka na maamuzi ya cdm, hivi alivyofukuzwa Sophia Simba mbona cdm hawakuteseka kama nyie?Waaaataachaje nawakati wameitwaa na kiongozi wao wa chamaa?? Wangegoma kuja siingekuwa sokomoko kama kipindi kilee?? Ngoja wanasheria watatudadafulia
Kila taasisi ina process zake za kutimuana lakini aina mara zote fair process ufuatwa.Chama kina organs zake na Kuna sababu za kisheria za kuruhusu organs zikuvue uanachama.