Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Mbona unateseka sana dogo? Muulize Sophia Simba na Membe watakuelimisha vizuri kuhusu hili.
Ulivyomweipe kichanii hadi unatia kinyaa. Kwhyo chadema inafanya maamuzi kwa kutumia nukuu za akina Sofia simba?? Kesi ya akina Sofia simbi nisawa na hao wabunge 19? Acheni wamama wawatu watafute haki yao inje ya katiba ya chama chenuu. Nihaki yaoo
 
Uanachama hauganganiwi kama mpira wa kona,kwenye medani ya vyama vya siasa.Wakikukataa ina maana hawakuitaji,unasepa au unaomba msamaha.
Pammoja na hayo zipo sifa za kuwa mwanachama na pia zipo kanuni za kuvuliwa uanachama.
Hakuna chama chochote chenye kilichosajiriwa kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya Tanzania chenye mamulàka ya kumtimua mwanachama yoyote kizembe, kwa sababu ni haki ya kikatiba RAIA kuwa mwanachama wa chama akipendacho. Na hata cheria na kanuni za kumlinda mwanachama yoyote ndani ya chama chake zipoo.
 
Lazima mchanganyikiwe paka shume nyie. Magodifaza wao na mabwana zenu hawapo tena. Mama anaupiga mwingi, hawezi kukaa upande wa dhalimu. Ngoja Betina (Tulia) wenu naye ajichanganye muone kitakachomtokea.
Duh, eti Tulia ni Betina!!

Namkumbuka sana Betina wa kwenye gazeti la Sani
 
Kuna mbweha alisema atajitoa jamiiforum kama chadema watawafukuza covid-19.
 
View attachment 2221209


Kuna na kesi nyingine iliyofunguliwa N.Y

Katiba ya chama cha siasa au taasisi yoyote ndani Tanzania hazipo juu ya sheria za kazi na katiba ya nchi.

Chama cha siasa ni public property, ukishachukua kadi tu unakuwa equal shareholder hivi sio vikundi vya watu wachache wenye kutaka kulazimisha agenda zao tena zisio consitent.

Chama kina organs zake na Kuna sababu za kisheria za kuruhusu organs zikuvue uanachama.
 
Napongeza hatua ya Baraza Kuu la Chadema kuwafukuza uanachama hao waliyokuwa wabunge wa.... Lakini nawashauri waliwofukuzwa kama wanandoto za kuendelea na siasa wakajiunge katika vyama wanavyofikiri vitawafaa ingawa najuwa hata kuwa maarufu kama mwanzo mana wapo walotoka wenye majina makubwa lakini wamezimika.

Au wachaguwe kuachana na siasa mana kuna maisha nje ya siasa wasiwe tegemezi ktk mwelekeo mmoja tu.

Kila la heri.
 
Ulivyomweipe kichanii hadi unatia kinyaa. Kwhyo chadema inafanya maamuzi kwa kutumia nukuu za akina Sofia simba?? Kesi ya akina Sofia simbi nisawa na hao wabunge 19? Acheni wamama wawatu watafute haki yao inje ya katiba ya chama chenuu. Nihaki yaoo

Haki gani. Chama hakijateua viti maalum nyie mmefikaje huko?..
 
Hapo kwenye kanda ya unguja kuna mistakes
 
Chama kina organs zake na Kuna sababu za kisheria za kuruhusu organs zikuvue uanachama.
Kila taasisi ina process zake za kutimuana lakini aina mara zote fair process ufuatwa.

Halafu kuna swala la motive pia kwenye kufukuzana is it justifiable mbele ya mahakama sio katiba ya chama inasemaje tu.

Mfano mwenyekiti akutaki na ana influence kwenye vikao vya chama utatoka salama kweli ata kama process za disciplinary action and contract termination zinajulikana; si anasema tu huyu atumtaki na wajumbe wanatii agizo.

Mara kadhaa viongozi wa juu wa CDM wamesikika wakichochea kufukuzwa hao wamama wanyonge uanachama badala ya kuachia vikao viamue independently; si ndio influence yenyewe ya viongozi hiyo kwenye vikao.
 
Back
Top Bottom