Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

wamekula hela ya kununuliwa na wamekula hela ya bunge, inawatosha sana.
 
Watakaa kimyaaa kama hakijatokea kitu😂😂😂😂
 
Hiki kikao wafanye jambo moja tu,wawatoze faini nusu ya mshahara na malupulupu yote ya bunge waliketi tangu wajipeleke. Zitajenga chama. Asikubali kuwafukuza.
 
Wasingetoka mm na siasa ingekuwa basi maana hatuwezi kumfuga delila ili Samson aangamie
Imenishangaza sana kwamba akina Halima na wenzake walikuwa wanaona walichofanya ni sawa? Basi vile tulivyodai kwamba walishinikizwa na Mwendazake tulikuwa tuna mwonea mwendazake.

Busara ilikuwa wakubali kosa, wasamehewe waachie hizo nafasi then wafikiliwe kwa namnq nyingine. Lakini kama walikuwa wanaamini wako sahihi then tuna matatizo makubwa sana kwenye siasa.

Mimi nilitarajia waje wabwage manyanga na kuweka wazi kilichotokea hadi wakaapishwa kinguvu.
 
Inabidi TAKUKURU wafanye kazi yao ya kufuatilia ufujaji huo wa fedha za walipa kodi,mamlaka husika zifuatilie forgery iliyofanyika kuwapelekahao wasaliti Bungeni.
Nchi iliharibiwa vya kutosha,watu wanaghushi kitaasisi na kuliingiza Taifa hasara kiasi hicho!Tena kwa kuhusisha Bunge!Ajabu na aibu hii itatuandama Watanzania kwa kipindi kirefu mno.Hii iwe mafuta ya kuchochea moto wa kudai Katiba ya wananchi wa Tanzania.
 
Kwamba Halima na wenzake waliona wako sahihi kufikia kukata rufaa?? Inaniumiza sana.

Niliamini waliapishwa kwa kulazimisha na hivyo tulitarajia wachomoe betri.

Sasa wakaungane na Ndugai 🤣🤣
 
Nawapongeza Chadema kwa uamuzi mzuri,hawa wasaliti hawakupaswa kuendelea kuwepo chamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…