Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

CHADEMA ni dude kubwa sana,iko siku mnaweza kuaminiwa na deep state mkapewa nchi. Maamuzi mliyoyafanya Kwa wale COVID 19 yananifundisha kitu hapa, mkiaminiwa mtayalinda masilahi mapana ya nchi yetu. Poleni sana dada zangu hiyo ni ajali mkatibu majeraha yenu makovu yataondoka polepole.
 
Halima na covid-19 kilichowaponza ni mwendazake .... wakajawa kiburi, arrogance, mbwembwe na dharau.... wakasahau walipotoka na nguvu walizotumia kujijenga .... ukipanda matembele utavuna tembele
 
Hao 19 baada ya kuvuliwa uanachama wakatafute haki mahakamani
 
Kuna mtu kwenye kona anatabasamu kwa ujanja ujanja wake alio ufanya. Lakini wakati/muda utasema.
 
Mimi nashauri waombe upya uanachama waendelee kubaki CDM! Wakienda huko kwenye vyama vingine watapotea kabisa katika ulimwengu wa siasa za nchi yetu.
Fate ya mtu katika siasa haitegemei chama fulani tu wanaweza wakaenda vyama vingine na wakafanikiwa vile vile kikubwa waweze kujisafisha tu
 
Hata hivyo walisha kula sana; mwaka mzima? Naona kama ama watahamia ama ACT Wazalendo au CCM. Kokote watakokokwenda nadhani watakuwa na nyota inayong'ara kwani ndio watakaoutumika kukibomoa CHADEMA. Labbda washawishiwe wasiondoke ndani ya Chama.
Aliondoka Slaa aliyekua Katibu Mkuu na alishindwa kuibomoa Chadema.
 
Hakuna Cha Kushangaza hapo...Sakosi nyingi huwa Zinaendeshwa hivyo....!

Wakatafute Vyama Sasa na Sio Sakosi..!
Sakosi ambayo Kiongozi wake anapewa muda na Nafasi ya Kukutana na Mwenyeketi wa Chama dola na Rais wa Nchi kwa mazungumzo Ikulu tena si mara moja! Hii ni Sakosi ya Kipekee Hakika
 

Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama​

 
Hao 19 baada ya kuvuliwa uanachama wakatafute haki mahakamani
Yuda alienda tafuta haki Mbinguni, ila Kwa usaliti wao sijui kama haki ya Hapa duniani itawasidiaje, iwapo wakiitafuta
 
Kwa nchi zinazojali maslahi ya raia na sheria za nchi, wakifika mahkamani tu wanafakw na hukumu ya kughushi/kufanya udanganifu
Mahakama za kiraia wanakosa la kujibu, kisiasa tayari wamesameheka na kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…