Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Ya Zitto Kabwe yatajirudia

Akina mdee waende Mahakamani.

Tangu mwanzo utaratibu haukuzingatiwa
 
Nimeuliza wanakata Rufaa kwa Nani?. Maana kamati kuu imewafukuaza na baraza kuu nalo limewafukuza hai watafute chama kingine, si walikuwa na kiburi wakijua chadema haiwezi kufanya chochote.

Subiri utajua
 
Yule Mgogo alikua speaker ya maliemu kwa kodi zetu.
Naona unajiskia rahaa sana kutumia hilo neno la “maliemu”….muhimu zaidi Kumbuka kwamba Kila goti litapigwa, andaa lako madam its just the matter of time, even all this comments of yours will be just memories. I won’t say “mark my words “ as you will be gone by then.
 
Wakienda mahakamani so wataishia kufungwa!! Hivi wakiulizwa minutes za kikao Cha Kamati kuu kilichowateua pamoja na barua ya Katibu Mkuu yenye muhuri wa Mnyika!!! Watavitoa Wapi?;

Kesi itaishia hapo
 
Halima na wenzake wasema uchaguzi haukuwa huru na haki.
 
Ya Zitto Kabwe yatajirudia

Akina mdee waende Mahakamani.

Tangu mwanzo utaratibu haukuzingatiwa

Wanaenda mahakamani kufanya nini wakati chama kimesema hakina mbunge viti maalum na akina Mdee wanatumia jina la chama bungeni. Waendelee lakini watumie chama Cha ACT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…