Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
waunde chama chao "CHAMA CHA WANAWAKE WALIOFUKUZWA -19" (CWW-19)Hata hivyo walisha kula sana; mwaka mzima? Naona kama ama watahamia ama ACT Wazalendo au CCM. Kokote watakokokwenda nadhani watakuwa na nyota inayong'ara kwani ndio watakaoutumika kukibomoa CHADEMA. Labbda washawishiwe wasiondoke ndani ya Chama.
Mbaya zaidi kwa nani??Mahakamani ingekuwa sahihi Kama ni Ubunge wa kuchaguliwa na sio wa viti maalum. Halafu mahakamani Mambo yatawekwa wazi ni jinsi gani walivyopata Ubunge ambapo itakuwa mbaya zaidi.
Mtego huo, Tulia aweza asitulie!Tulia atagoma kuwafuta ubunge.
Mbona mbowe alienda ikulu kuongea na raisi wasiemtambua? Hapa misimamo ya chama haijakiukwa?
Kutatoa nafasi kwa CHADEMA kuteua wake, waume, watoto, na ndugu za viongozi kupewa ubunge nao wanuyfaike.Mkuu, unaweza kunieleza kufukuzwa kwa hao wanachama kuna faida gani kwa chadema?
Baambie baambie Chadema ni Taasisi kubwa sanaZitto mwenyewe amekiri katika makosa makubwa aliyofanya katika Maisha yake ni kuondoka Chadema. Kwa huu mwaka mmoja akina Halima wamekuwa na impact gani?. Dr Slaa, Masinji etc wameshindwa kukivunja chama sembuse Hawa akina Halima Mdee waliochuja?. Waende CCM au ACT .
Umesahau wale wanawake ambao 2020 walihma chama kwa visingizio vingi, Leo wapo wapi?. Alfred Rwakatale aliyehama chadema kwa mikwara yupo wapi leo?. Chadema ilishindwa kuvunjwa na jiwe sidhani Kuna wakuivunja zaidi ya Mungu mwenyewe.
Ruzuku inatakiwa iende ushirombo bila mgao,haijafika.
Mwene Saccos kakasirika.
Hizi siasa wee aacha tu, ukikutana na huyo Rwakatare unaweza kudhani ni mweu flani au wale bodaboda wachafuuu.
Sina uhakika na hilo?Unaelewa Kiswahili?
Kutatoa nafasi kwa CHADEMA kuteua wake, waume, watoto, na ndugu za viongozi kupewa ubunge nao wanuyfaike.
.Yani chadema sijui Kuna nini?. Ukiondoka na ushawishi unapotea kabisa. Akina Nassari pamoja na ukuu wa Wilaya hamna kitu Wala ushawishi.
Ndugai alikataa ila mwisho kaondoka yeye kwenye uspika. Sometimes tuangalie utaruhusuje mbunge asiyetakiwa na chama awe mbunge?. Maana kikatiba chama ndio kinadhamini wabunge sio spika. Tulia alishasema wazi anasubiri maelekezo kutoka kwenye chama Cha Chadema.
Mbaya zaidi kwa nani??
Mtego huo, Tulia aweza asitulie!
Ndugai alitumia njia kutoka kwenye uspika, na mpango wa haraka ukawa ni huo. Mwache apumzike ajilie maisha huku anavuta pesa ndefu bado.
Stupid, mbonà unachosha Sasa!Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
They appealed the verdictKwani hawakuwa wamefukuzwa hawa?