Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

1652305955991.jpeg

Nasubiria Taarifa rasmi
 
Swali langu ni moja:

Licha ya Spika Tulia kufahamu ubatili wa Mdee na wenzake kuwemo bungeni lakini bado hakujipa muda wa kujiridhisha uhalali wao na bado akashupaza shingo kukubali wawepo. Je katika hili atakubaliana na maamuzi yaliyofikiwa kutokubaliana au atakubali kulinda ugali wake?

Watakaosimama na Spika wajiandae kupata maumivu mengine maana kuna mengi katika hili hata Tulia hayajui
 
Bado wajumbe wanapiga kura mdaa huu taarifa ya kwamba wamefukuzwa ni batili. Ikitokea wamefukuzwa basi spika atapelekewa barua kutoka kwa katibu mkuu mh John mnyika kuwa hawa sio wanachama hivyo sio wa bunge tena. Spika asipowafukuza au wasipojifukuza wenyewe basi mamlaka tunarudisha kwa wananchi ndowenye maamuzi ya mwisho ya kulinda na kuitekeleza Katiba.
 
Mkuu, unaweza kunieleza kufukuzwa kwa hao wanachama kuna faida gani kwa chadema?
Faida ya kwanza ni kuonekana ni chama kinachosimamia katiba na itikadi zao ukizikiuka hata kama ni Tundu Lissu unafukuzwa!

Mzee Mdee na wenzake kuna mahala wameandaliwa ngoja uone wanakoenda
 
Back
Top Bottom