Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikata rufaa Leo ndohukumu imetokaKwani huko chadema mnashinda mnafukuza hao wamama marangapii?? Simlishawafukuza mda mrefuuu??
Wanahamia Act WazalendoBaada ya hapo nini kinafuata?
Endelea kunywa Smirnoff tuUshauri wa bobi wine huo.
Nikusogezee glass?Endelea kunywa Smirnoff tu
Ni official Mzee Halima hatunae tena chamaniView attachment 2221132
Nasubiria Taarifa rasmi
Leta tufurahie ushindiNikusogezee glass?
Katibu wa bunge anapewa taarifa kisha anafanya yakeBaada ya hapo nini kinafuata?
Kwani katiba ya chadema inasema rufaa ya MTU inapaswa kusikilizwa baada ya mda ganii?? Maana ni zaidi ya mwaka sasa toka rufaa hiyo imepelekwaa?? Maana isijeikaonekana kikao hicho kisijeonekana ni batiriii.Walikata rufaa Leo ndohukumu imetoka
Tulia kabisa kakaUamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Mkuu, unaweza kunieleza kufukuzwa kwa hao wanachama kuna faida gani kwa chadema?Leta tufurahie ushindi
Elewa maneno "Rufaa yao imetupiliwa mbali" inamaana walifukuzwa wakakata rufaa na sasa imetupiliwa mbaliKumbe walikuwa hawajafukuzwa?!
Bado wajumbe wanapiga kura mdaa huu taarifa ya kwamba wamefukuzwa ni batili. Ikitokea wamefukuzwa basi spika atapelekewa barua kutoka kwa katibu mkuu mh John mnyika kuwa hawa sio wanachama hivyo sio wa bunge tena. Spika asipowafukuza au wasipojifukuza wenyewe basi mamlaka tunarudisha kwa wananchi ndowenye maamuzi ya mwisho ya kulinda na kuitekeleza Katiba.Swali langu ni moja:
Licha ya Spika Tulia kufahamu ubatili wa Mdee na wenzake kuwemo bungeni lakini bado hakujipa muda wa kujiridhisha uhalali wao na bado akashupaza shingo kukubali wawepo. Je katika hili atakubaliana na maamuzi yaliyofikiwa kutokubaliana au atakubali kulinda ugali wake?
Watakaosimama na Spika wajiandae kupata maumivu mengine maana kuna mengi katika hili hata Tulia hayajui
Faida ya kwanza ni kuonekana ni chama kinachosimamia katiba na itikadi zao ukizikiuka hata kama ni Tundu Lissu unafukuzwa!Mkuu, unaweza kunieleza kufukuzwa kwa hao wanachama kuna faida gani kwa chadema?
Huna lolote wewe bora uachane na kuandika siasaUamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Moderator wametoa breaking news 🤔Chama cha kikatili mno.
Mleta mada hujaconfirm habari kabla ya kupost??