Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Wasije wakafuata mkondo wa Zitto, kwenda mahakamani???Baada ya hapo nini kinafuata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasije wakafuata mkondo wa Zitto, kwenda mahakamani???Baada ya hapo nini kinafuata?
We si ulisema uta 'quit' jukwaa la siasa Kama watafukuzwa, fanya hivyo nenda kapige umbea wa Kiev v/s Moscow kwenye jukwaa lingine.Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Wanaweza kuomba tena uanachama! Kama kanisani ukiasi unarudi unabatizwa upya mambo yanasongaAsa yale magwanda watapeleka wapi 😂😂😂
Wameishamaliza kuwahoji?Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
Kikao ni batili inamana hao wajumbe walioudhuria hawana sifa? Ni marobot?Kwani katiba ya chadema inasema rufaa ya MTU inapaswa kusikilizwa baada ya mda ganii?? Maana ni zaidi ya mwaka sasa toka rufaa hiyo imepelekwaa?? Maana isijeikaonekana kikao hicho kisijeonekana ni batiriii.
Ingekuwa ajabu kama wangekwenda kinyume na maamuzi ya Baraza lao kuu!!!Ni rasmi sasa covid 19 wamefukuzwa chadema
Hongereni sana chadema. Msaliti/wasaliti havumiliki/ hawavumiliki ndani ya chama.
Principled. Sina la kuongeza.Ni rasmi sasa covid 19 wamefukuzwa chadema
Hongereni sana chadema. Msaliti/wasaliti havumiliki/ hawavumiliki ndani ya chama.
Kwani unatakaje?Kwa hiyo?
Kule watakutana na kibatala, na hivi Leo kapewa tuzo ya heshima hatapapasa hata kidogo akiampa tu wanapewa za uso siku moja na jaji anatoa maamuziWasije wakafuata mkondo wa Zitto, kwenda mahakamani???
Taarifa hii haijajitosheleza maana Chama kina Kanda kumi iweje wewe unaweka matokeo ya kanda sita tu?Hatimaye baraza kuu la Chadema limewafukuza rasmi waliokuwa wabunge 19 wa viti maalumu .
Wajumbe wa Kamati kuu.
Idadi wajumbe 23
Wanaokubaliana na maamuzi ya Kamati kuu 23
Wanaopinga maamuzi 0
NYASA
Wajumbe 57
Wanaosema wavuliwe uanachama ni 57
Wasivuliwe 0
Pemba.
1- wasifukuzwe uanachama
19-wafukuzwe
Wasiofungamana na upande 2
KANDA YA PWANI
1.Wafukuzwe 45
2.Wasifukuzwe 2
KUSINI
1.Wafukuzwe 32
2.Wasiokubalina 0
Kanda ya Serengeti
Wafukuzwe 41
Wabaki 0
KANDA YA KASKAZINI
1. Wafukuzwe 61
2. Wasifukuzwe 0
Ndio. It is done.Ni hatua nzuri, lazima tuwe na taifa lenye watu wanaosimamia jambo hata kwenye mazingira yenye changamoto