Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

FB_IMG_1652304081707.jpg
 
Ni rasmi sasa covid 19 wamefukuzwa chadema

Hongereni sana chadema. Msaliti/wasaliti havumiliki/ hawavumiliki ndani ya chama.
Ingekuwa ajabu kama wangekwenda kinyume na maamuzi ya Baraza lao kuu!!!
 
Hatimaye baraza kuu la Chadema limewafukuza rasmi waliokuwa wabunge 19 wa viti maalumu .

Wajumbe wa Kamati kuu.
Idadi wajumbe 23
Wanaokubaliana na maamuzi ya Kamati kuu 23
Wanaopinga maamuzi 0.

Kanda ya Victoria (Wajumbe 44)

-Wanaokubalia wavuliwe uwanachama 42
-Wasiokubali 1
-Wasiofungamana na Upande wowote 1

NYASA
Wajumbe 57
Wanaosema wavuliwe uanachama ni 57
Wasivuliwe 0

Pemba.
1- wasifukuzwe uanachama
19-wafukuzwe
Wasiofungamana na upande 2

KANDA YA PWANI
1.Wafukuzwe 45
2.Wasifukuzwe 2

KUSINI
1.Wafukuzwe 32
2.Wasiokubalina 0

Kanda ya Serengeti
Wafukuzwe 41
Wabaki 0

KANDA YA KASKAZINI
1. Wafukuzwe 61
2. Wasifukuzwe 0
 
Hatimaye baraza kuu la Chadema limewafukuza rasmi waliokuwa wabunge 19 wa viti maalumu .

Wajumbe wa Kamati kuu.
Idadi wajumbe 23
Wanaokubaliana na maamuzi ya Kamati kuu 23
Wanaopinga maamuzi 0

NYASA
Wajumbe 57
Wanaosema wavuliwe uanachama ni 57
Wasivuliwe 0

Pemba.
1- wasifukuzwe uanachama
19-wafukuzwe
Wasiofungamana na upande 2

KANDA YA PWANI
1.Wafukuzwe 45
2.Wasifukuzwe 2

KUSINI
1.Wafukuzwe 32
2.Wasiokubalina 0

Kanda ya Serengeti
Wafukuzwe 41
Wabaki 0

KANDA YA KASKAZINI
1. Wafukuzwe 61
2. Wasifukuzwe 0
Taarifa hii haijajitosheleza maana Chama kina Kanda kumi iweje wewe unaweka matokeo ya kanda sita tu?
 
Back
Top Bottom