Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

CDM hakiwezi kugawanyika kwa mbinu za kilaghai kama hizo.

Kirusi pandikizi Bulaya kazi kaimaliza ila kuigawa CDM kashindwa, sana sana kawakaanga kina mdee na yule dada makini aliyekuwa gelezani Singida.

Ila kisema ukweli Nustrat aliingizwa kingi. Hata Hawa Mwaifunga naye sijui aliingiwa na Nini? Tabora mjini alishinda kabisa na akaona Wanachi walivyomuunga mkono dhidi ya Mwakasaka lakini akaacha vyote akaungana na watesi. Aliniiuma Sana, 2025 alikiwa anachukua Jimbo bila kampeni, maana bila ule uchaguzi wa mwaka 2020 Hawa ndio alikiwa mshindi.
 
Wanaenda mahakamani kufanya nini wakati chama kimesema hakina mbunge viti maalum na akina Mdee wanatumia jina la chama bungeni. Waendelee lakini watumie chama Cha ACT.
Mahakama ni sehemu ya kupata haki na kutafasiri sheria. Wanayo haki ya kwenda mahakamani kama wanaona hawajaridhika. Usiwapangie
 
Ila kisema ukweli Nustrat aliingizwa kingi. Hata Hawa Mwaifunga naye sijui aliingiwa na Nini? Tabora mjini alishinda kabisa na akaona Wanachi walivyomuunga mkono dhidi ya Mwakasaka lakini akaacha vyote akaungana na watesi. Aliniiuma Sana, 2025 alikiwa anachukua Jimbo bila kampeni, maana bila ule uchaguzi wa mwaka 2020 Hawa ndio alikiwa mshindi.
Kuchukua jimbo bila kampeni? HAIWEZEKANI
 
Wakienda mahakamani so wataishia kufungwa!! Hivi wakiulizwa minutes za kikao Cha Kamati kuu kilichowateua pamoja na barua ya Katibu Mkuu yenye muhuri wa Mnyika!!! Watavitoa Wapi?;

Kesi itaishia hapo
Mimi nadhani hawa baada rufaa yao kutupwa swala lao lipelekwe Polisi kitengo cha Fraud ili kukomesha wahuni kwenye siasa.

Halafu nawapa ushuhuda wa asilimia 100 kuwa hawa ni kweli walitowa rushwa au Halima Mdee aliwadanganya kama ameshaweka mambo sawa na watashinda, maana yule mmoja wao Sophia Mwakagenda alinitambia hadi mimi kwenye mitandao yake, halafu angalia ile confidence aliyoingia nayo Halima Mdee pale Mlimani City ndio mtaelewa ni kwa nini hadi britanicca akaweka nadhiri humu basi yeye anajitowa JF.

Hongereni Chadema lakini endeleeni kupuliza moshi kwenye mashimo panya bado wapo, uzuri tu mlichokifanya ukitaka kuangamiza ukoo wa Panya anza na wale wakubwa na ndicho kilichofanyika.

Ushauri kwa Mdee kuliita baraza kuu wahuni ni kwamba hujafundwa kwenu kuheshimu wakubwa, nakushauri uolewe na Humphrey Polepole ndio mtaendana maana wote upumbavu wenu unafanana kwa kila kitu.
 
Remmy Ongala Song ,Tititinti tiriri,,,,Kifoooo kifo ,kifo hakina hurumaaaaa tititinti tiririri.....X 2.
Kifooo kifo ,tulikuwa na baba yetu tulikuwa tunamtegemea,kifo umechukua baba yetu leo tunakwenda tunahangaika,hatuna mahali pa kulala........[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Baada ya hapo nini kinafuata?
hali bado ni tete.wabunge hao wataendelea kuwa bungeni kwa sababu naamini wataenda mahakamni kudai haki yao na ninavyojua mahakama itachukua muda mrefu kufanya maamuzi ya jambo hili sababu linahitaji vielelezo ya kutosha ili kufikia maamuzi.kuna technicality kwa pande zote mbili hivyo busara itabidi utumike ili kufikia hitimisho la jambo hilo.nina amini spika kwa kuwa pia ni mtalaamu wa mambo ya sheria hatakurupuka katika maamuzi yake.Tusubiri time will tell.
# I contemplate conteplatinng#
 
Mimi nadhani hawa baada rufaa yao kutupwa swala lao lipelekwe Polisi kitengo cha Fraud ili kukomesha wahuni kwenye siasa.

Halafu nawapa ushuhuda wa asilimia 100 kuwa hawa ni kweli walitowa rushwa au Halima Mdee aliwadanganya kama ameshaweka mambo sawa na watashinda, maana yule mmoja wao Sophia Mwakagenda alinitambia hadi mimi kwenye mitandao yake, halafu angalia ile confidence aliyoingia nayo Halima Mdee pale Mlimani City ndio mtaelewa ni kwa nini hadi britanicca akaweka nadhiri humu basi yeye anajitowa JF.

Hongereni Chadema lakini endeleeni kupuliza moshi kwenye mashimo panya bado wapo, uzuri tu mlichokifanya ukitaka kuangamiza ukoo wa Panya anza na wale wakubwa na ndicho kilichofanyika.

Ushauri kwa Mdee kuliita baraza kuu wahuni ni kwamba hujafundwa kwenu kuheshimu wakubwa, nakushauri uolewe na Humphrey Polepole ndio mtaendana maana wote upumbavu wenu unafanana kwa kila kitu.
Waliwahonga wajumbe hasa wa mikoani,waliwalipia hadi hotel.
 
IMG_6787.jpg
 
Wakienda mahakamani so wataishia kufungwa!! Hivi wakiulizwa minutes za kikao Cha Kamati kuu kilichowateua pamoja na barua ya Katibu Mkuu yenye muhuri wa Mnyika!!! Watavitoa Wapi?;

Kesi itaishia hapo
Ni sawa na mimi kusema naenda kukufungulia kesi ya uonevu.

Halafu unitishie tukifika mahakamani utawaambia nilienda kuchukua mkopo bank kwa kufoji saini yako.

Ni vitu viwili tofauti, kesi yako ni nyingine uzuiwi kwenda kunifungulia mashtaka ya kufoji signature yako; lakini accusation zako hazina uhusiano na kesi yangu ya msingi hadi mahakama wazipe maanani.

Hakina mama nchi hii wananyanyasika sana yaani awaruhusiwi kuchukua fursa mpaka wanaume waamue ata kama walipigania chama sawa kwa muda wote; huu mwenendo wa ukandamizaji wa haki za hakina mama aukabaliki dunia ya leo.

Haki ipatikane kwa wadada na wamama 19 wa CHADEMA.
 
Ni sawa na mimi kusema naenda kukufungulia kesi ya uonevu.

Halafu unitishie tukifika mahakamani utawaambia nilienda kuchukua mkopo bank bank kwa kufoji saini yako.

Ni vitu viwili tofauti, kesi yako ni nyingine uzuiwi kwenda kunifungulia mashtaka na ya kufoji signature yako; lakini accusation zako hazina auna uhusiano na kesi yangu ya msingi hadi mahakama wazipe maanani.

Hakina mama nchi hii wananyanyasika sana yaani awaruhusiwi kuchukua fursa mpaka wanaume waamue ata kama walipigania chama sawa kwa muda wote; huu mwenendo wa ukandamizaji wa haki za hakina mama aukabaliki dunia ya leo.

Haki ipatikane kwa wadada na wamama 19 wa CHADEMA.
1. Mkuu charge sheet si utasema umevuliwa "ubunge" kimakosa. Sasa mawakili wa upinzani wanaweka zuio kwamba kesi ya msingi isisikilizwe kwa sababu hao wanaoleta madai hawakuwa "wabunge Viti Maalum" wa CHADEMA kwa definition Ile ya kisheria (Uteuzi wa Kamati kuu, barua ya Katibu Mkuu n.k)

2. Otherwise hata wakishinda kesi hiyo haina impact sababu Kamati kuu imewavua uanachama sio ubunge. So wakienda bungeni wakiulizwa wanadhaminiwa na chama Gani ndio mchezo umekwisha hapo.

3. Wakina mama Gani wananyanyasika CHADEMA?? Unafahamu kwamba CHADEMA ndio ilipitisha wagombea wengi zaidi wanawake 2020? Zaidi ya majimbo 70 waliachiwa wanawake!!! In fact ndio chama pekee chenye sera ya Jinsia/wanawake!!

4. Wanaume Gani wanaamua?? Sheria za nchi lazima zifuatwe otherwise katiba itambue women wings za vyama ndio vipitishe viti maalum ila kusema eti wanaume mpaka waamue unakosea!! Issue pale ni katiba za vyama sio kelele zingine za feminism hapa!!

Mkiambiwa katiba mpya hamtaki afu mkibanwa ndio mnalialia kuwa Sheria ni kandamizi!!!
 
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA

Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama
======
UPDATE:

Halima Mdee: Kilichofanyika ni Uhuni, hata Mbowe (Freeman) mwenyewe anajua

John Mrema: Baada ya uamuzi wa Baraza Kuu, Katibu Mkuu ataandika barua kumuarifu Spika kuwa suala lao limehitimishwa; tutamwachia spika afanye uamuzi kama alivyosema anasubiri Rufaa zao
=======

Matokeo ni kama ifuatavyo;

Kanda ya Victoria (Wajumbe 44)
-Wanaokubalia wavuliwe uwanachama 42
-Wasiokubali 1
-Wasiofungamana na Upande wowote 1
Jumla kura 44

Kanda ya Nyasa (Wajumbe 57)

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 57
-Wasiokubalina 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 57

Kanda ya Unguja (Wajumbe 22)

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 19
-Wasiokubali 1
-Wasifungamana na Upande wowote 1
Jumla ya Kura 22

Kanda ya Pemba 15
-Wanaokubali wavuliwe uanachama 12
-Wasiokubali 1
-Wasifungamana na Upande wowote 2
Jumla ya Kura 15

Kanda ya Kusini 32

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 32
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 32

Kanda ya Pwani 47

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 45
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 2
Jumla ya Kura 47

Kanda ya Kati 44

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 44
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 44

Kanda ya Serengeti Wajumbe 41

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 41
-Wasiokubalina 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 41

Kanda ya Magharib Wajumbe 37

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 37
Wasiokubali 0
Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 37

Kanda ya Kaskazini Wajumbe 61

-Wanaokubali wavuliwe uanachama 61
-Wasiokubali 0
-Wasifungamana na Upande wowote 0
Jumla ya Kura 61

MATOKEO YA JUMLA

Idadi ya wajumbe 423

Waliokubalina na maamuzi ya Kamati ya kuwafukuza Uanachama ni 413 sawa 97.6%

Wasiokubaliana na uamuzi wa Kamati kuu ni 5 sawa na 1.2%

Wasiofungamana na upande wowote ni 5 sawa na 1.2%

Pia, soma;

1). BAVICHA: Tumesikitishwa sana na walioenda kuapa, ni kitendo cha usaliti, hujuma na hakiwezi kuvumilika. Wataka hatua kali zichukuliwe

2. Uchaguzi 2020 - CHADEMA yaitaka Tume ya Uchaguzi NEC kutoa Ufafanuzi kuhusu Majina ya Wabunge wa Viti Maalum Wanaodaiwa wamepelekwa Bungeni

3). Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

4). Uchaguzi 2020 - Hatimaye Wabunge wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

5. Uchaguzi 2020 - Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

6. Spika Ndugai: Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

7. Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni UHUNI!
Mungu ibariki Chadema
 
Uamuzi Wa Kama Kina Halima Mdee Wafukuzwe Au La BADO Haujatoka, Wajumbe Wa Baraza Kuu Ndo Wanaingia Kwenye Zoezi La Kupiga Kura Muda Huu
We ondoka jukwaa la siasa. Acha visingizio vya kitoto. Hakuna aliyekulazimisha kutoa ile ahadi ya kujitoa jukwaa la siasa kama kina Mdee wakitimliwa. Shida ni kuongea bila kutafakari vya kutosha. Pengine umekuwa “blindsided” na chuki.
 
Back
Top Bottom