Tetesi: Baraza Kuu La CHADEMA linatarajia kukutana kwa dharura Kumjadili Mbunge Machachari (Joshua Nassari)

Utoto sana

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
lema anajua ; mbona alishasema
Lema anajua nini, alisemaje?
Lema anajua nini,alisemaje?
 
Wata malizana
lakini ukweli Usemwe
Hakuna upinzani nchi hii
 
Nassary siku zake za kukaa chadema zinahesabika,hakuna chama hapa mjini ina intelejensia kali kama Chadema.
Alijaribu Zito kapelea mbali sana itakua hichi kidagaa?
 
Kampeni zimeanza mapema mbona

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
well said
 
Punga likishakuwa na hamu ya kuliwa huwa linaropoka tu ili lipate mtu wa kulitafuna
 
Kama ni msaliti afukuzwe tu,,hafai ,,,tatizo la vijana,,,unakuta ameshahaidiwa kiasi cha pesa,
 
Itafahamika tu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
 
Kama ni kweli mbona huyo brother edo hapelekwi mahakamani?

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli. Hizi taarifa nimezipata toka source ya karibu sana ya Nassari.
Never undermine JF. Never!
Hivi lowasa na sumaye kadi zao za CCM walirudisha CCM kabla ya kupewa za chadema ? Mnajua wamezilipia zaidi Ya miaka 10 na zaidi iliyobaki? Wengi hulipia kwa miaka lowasa Na sumaye Kama ushahidi ni kadi anzeni na lowasa na sumaye.kwa ushahidi wa kadi basi nao ni wanachama hai wA CCM
 
Based on true story.
 
Kama ni kweli mbona huyo brother edo hapelekwi mahakamani?

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Kwani ulijua rugemalira na kina Singh Seth wangepelekwa mahakamani?? Au ngeleja kutema pesa za escrow?? Be patient muda utasema..
La msingi mjiandae kisaikolojia tu ili muda ukifika msibwabwaje hovyo kama mnapunga mapepo..
 
Nina mashaka na mtoa mada- ni kada "aliyenyweshwa" maji ya bendera ya chama cha ukoo wa panya wezi

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…