Sema siku za mbowe zinahesabika kikao hicho kama kipo ndio mwanzo wa chadema kusambaratika rasmi na kubakia cha watu wa Kilimanjaro tu. Nassari sio mtu wa kuchezewa kirahisi ana nguvu kubwa Arusha na manyara. Wengi wanataka wabunge wao wakiwemo wa Jimbo la lema kuwa aige nassari mpenda maendeleo ya Jimbo. Chadema wakimbwaga wameru wanatimka chademaNassary siku zake za kukaa chadema zinahesabika,hakuna chama hapa mjini ina intelejensia kali kama Chadema.
Alijaribu Zito kapelea mbali sana itakua hichi kidagaa?
Mbona Lowassa na na zero bado wana kadi za CCM na mumeufyataBaraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho unaweza kumuita (Joshua Nassari). Taangu alivyotoka Kuongeza Elimu yake Ughaibuni yamesemwa mengi wengine wakisema aligharamiwa Elimu yake na Chama Kimoja hapa chini.
Inaelezwa kuwa Chama hicho (jina kapuni) kilimpokea pia wakati anatoka Kusoma Ughaibuni.
Hali imekua tete katika jimbo lake kwa sasa ambapo CHADEMA inaelekea kukosa kuiongoza halimashauri hiyo
Taarifa za Kichunguzi zinaniambia Nassari yu mbioni kuhamia chama hicho mwishoni mwa mwaka 2019 kuelekea Uchaguzi Mkuu, Taarifa hizo zinadai na kuthibitisha namba ya uanachama ya Nassari katika Chama hicho na Kuonesha baadhi ya Stakabadhi zake za malipo mbalimbali ya ada za Uanachama ambapo inasemekana mwaka 2009 alilipa Kiasi cha sh. 12,000 ada hiyo itaisha mda wake mwaka 2019.
Ubaya wa ramli huwa za kweli.naona misukule ya Lumumba imeanza kupiga Lamri
Umalaya tu huu umeandika hapa.Baraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho unaweza kumuita (Joshua Nassari). Taangu alivyotoka Kuongeza Elimu yake Ughaibuni yamesemwa mengi wengine wakisema aligharamiwa Elimu yake na Chama Kimoja hapa chini.
Inaelezwa kuwa Chama hicho (jina kapuni) kilimpokea pia wakati anatoka Kusoma Ughaibuni.
Hali imekua tete katika jimbo lake kwa sasa ambapo CHADEMA inaelekea kukosa kuiongoza halimashauri hiyo
Taarifa za Kichunguzi zinaniambia Nassari yu mbioni kuhamia chama hicho mwishoni mwa mwaka 2019 kuelekea Uchaguzi Mkuu, Taarifa hizo zinadai na kuthibitisha namba ya uanachama ya Nassari katika Chama hicho na Kuonesha baadhi ya Stakabadhi zake za malipo mbalimbali ya ada za Uanachama ambapo inasemekana mwaka 2009 alilipa Kiasi cha sh. 12,000 ada hiyo itaisha mda wake mwaka 2019.
Ili ajiunge na chama cha wala nchi..Nassari ondoka kwenye hilo chama la wanafiki
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Yule dogo mzalendo sana..alishiriki kikamimilifu vita dhidi ya mafisadi..pia aliachana na lema baada ya kuna anafanya siasa za kuchumia tumbo..toka wampokee lowasa yeye amekuwa inactive..
Kwa mwanachadema asilia kusimama na lowasa jukwaa moja inahitaji unywe na ufukiziwe Maji ya unafiki.
Ili aje huko kwa wachawi na wala rambi rambi?Nassari ondoka kwenye hilo chama la wanafiki
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Ana nguvu kubwa arumeru kwa wameru/rwa wenzake na sio arusha nzima kama unavyotaka kutudanganya wala manyara.Sema siku za mbowe zinahesabika kikao hicho kama kipo ndio mwanzo wa chadema kusambaratika rasmi na kubakia cha watu wa Kilimanjaro tu. Nassari sio mtu wa kuchezewa kirahisi ana nguvu kubwa Arusha na manyara. Wengi wanataka wabunge wao wakiwemo wa Jimbo la lema kuwa aige nassari mpenda maendeleo ya Jimbo. Chadema wakimbwaga wameru wanatimka chadema
Kwa hiyo kwenu Lema ndiye anayejua kila kitu.lema anajua ; mbona alishasema
Hongera mkuu C.c Paw JamiiForumsUmalaya tu huu umeandika hapa.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app