Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tena ni mtu mzimaHuyu dogo akili zake kama Lizabon tu. Nadhani payroll ya Lumumba huondoka na ubongo wa watu, kwa harakaharaka ni ngozi yako ya kichwa inakusaidia kuwaza kwasasa mdogo angu Troll
Sent from my SM-J710H using JamiiForums mobile app
Na chama hicho hicho kinasema kimeibiwa kura! Mkuu unakulaga kunde za wapi?Nassary siku zake za kukaa chadema zinahesabika,hakuna chama hapa mjini ina intelejensia kali kama Chadema.
Alijaribu Zito kapelea mbali sana itakua hichi kidagaa?
kwani mnapoingia mkataba kila upande ukaridhika kwenye maslahi kuna shida gani!? Atakapomaliza kazi yao ni juu yao kuendelea naye kwa kazi ingine au kuachana naye. Usifikiri kwenye issue hizi mtu anaingia kichwakichwa. Halafu dogo kichwa chake kiko vizuri naturally. Ongeza na elimu aliyonayoHuu usaliti utamtafuna huyu kijana,ccm itamtumia kama toilet paper then kumtupa kwenye dustbin
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
poa Time will tell but mark my words Arusha na manyara hawana mpango wa kuendeshwa puta Na Kilimanjaro kwenye siasa baada ya kutimua slaa na sasa chadema kikitimua nassari chadema wajiandae kukiona cha mtema kuni manyara na Arusha sio koloni la Kilimanjaro la mbowe, godless lema and company Ukiwemo mleta madaAna nguvu kubwa arumeru kwa wameru/rwa wenzake na sio arusha nzima kama unavyotaka kutudanganya wala manyara.
Mkuu naona unaandika utafikiri unaijua Arusha vizuri nikwambie tu kwamba unaowachukia ndio hao hao wamejaa kwenye utumishi huko nchini mkoa unakotoka ndio leo imepata shule ya Advance level wenzako hizo shule zipo kila kata .poa Time will tell but mark my words Arusha na manyara hawana mpango wa kuendeshwa puta Na Kilimanjaro kwenye siasa baada ya kutimua slaa na sasa chadema kikitimua nassari chadema wajiandae kukiona cha mtema kuni manyara na Arusha sio koloni la Kilimanjaro la mbowe, godless lema and company Ukiwemo mleta mada
Mbona wa2 wanapost v2 vya maana then mna-divert from the truth? Ndg ye2 amepost habar za siasa kumhusu Nassari sasa kibiti imeingiaje hapo?Ramli za kitoto namna hii haziwezi kutusaidia kujenga viwanda wala kukomesha mauaji ya watu wasio na hatia kibiti