Tetesi: Baraza Kuu La CHADEMA linatarajia kukutana kwa dharura Kumjadili Mbunge Machachari (Joshua Nassari)

Kesho CHADEMA wanafanya kosa la kumpiga Joshua Nassari, watamuongezea mwendo wa kujiunga CCM
 
Ramli za kitoto namna hii haziwezi kutusaidia kujenga viwanda wala kukomesha mauaji ya watu wasio na hatia kibiti
Ndio shida ya Chadema mkishtuliwa au kuonywa mnaishia kejeli na hata matusi.
Kishatimia mule mule ha ha ha.
 
Hii kitu bonge la madini na haswa mahali hapa.

"inasemekana mwaka 2009 alilipa Kiasi cha sh. 12,000 ada hiyo itaisha mda wake mwaka 2019"
 
Hadi sasa wewe ni mhuni tu maana taarifa yako ya 2017 wala haina dalili ya kutokea.
Nasari ni mbunge?Huoni Huu uzi ni sahihi kabisa ukilinganisha na yaliyopo saiz?Au huko ufipa Mbowe na lisu walishawachomoa ubongo kiasi vichwa vyenu kubaki kama mabox tupu?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…