Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati gani huo?Wakati utaongea
Hakuna kikao cha kukaa kumjadili Nasari,Kesho CHADEMA wanafanya kosa la kumpiga Joshua Nassari, watamuongezea mwendo wa kujiunga CCM
Ndio shida ya Chadema mkishtuliwa au kuonywa mnaishia kejeli na hata matusi.Ramli za kitoto namna hii haziwezi kutusaidia kujenga viwanda wala kukomesha mauaji ya watu wasio na hatia kibiti
Hadi sasa wewe ni mhuni tu maana taarifa yako ya 2017 wala haina dalili ya kutokea.Huwa sibishani na Wahuni
Hii kitu bonge la madini na haswa mahali hapa.Baraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho unaweza kumuita (Joshua Nassari). Taangu alivyotoka Kuongeza Elimu yake Ughaibuni yamesemwa mengi wengine wakisema aligharamiwa Elimu yake na Chama Kimoja hapa chini.
Inaelezwa kuwa Chama hicho (jina kapuni) kilimpokea pia wakati anatoka Kusoma Ughaibuni.
Hali imekua tete katika jimbo lake kwa sasa ambapo CHADEMA inaelekea kukosa kuiongoza halimashauri hiyo
Taarifa za Kichunguzi zinaniambia Nassari yu mbioni kuhamia chama hicho mwaka 2019 kuelekea Uchaguzi Mkuu, Taarifa hizo zinadai na kuthibitisha namba ya uanachama ya Nassari katika Chama hicho na Kuonesha baadhi ya Stakabadhi zake za malipo mbalimbali ya ada za Uanachama ambapo inasemekana mwaka 2009 alilipa Kiasi cha sh. 12,000 ada hiyo itaisha mda wake mwaka 2019.
Hadi sasa wewe ni mhuni tu maana taarifa yako ya 2017 wala haina dalili ya kutokea.Huwa sibishani na Wahuni
JF ni habari ingine kabisaaaNi kweli. Hizi taarifa nimezipata toka source ya karibu sana ya Nassari.
Never undermine JF. Never!
Sina hakika na wewe kama umenielewa vizuri pale nilipokuquote.Umesoma vizuri?
Nassari ondoka kwenye hilo chama la wanafiki
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Nasari ni mbunge?Huoni Huu uzi ni sahihi kabisa ukilinganisha na yaliyopo saiz?Au huko ufipa Mbowe na lisu walishawachomoa ubongo kiasi vichwa vyenu kubaki kama mabox tupu?Hadi sasa wewe ni mhuni tu maana taarifa yako ya 2017 wala haina dalili ya kutokea.
Ramli za kitoto namna hii haziwezi kutusaidia kujenga viwanda wala kukomesha mauaji ya watu wasio na hatia kibiti
Matusi hayabadilishi ukweliUmalaya tu huu umeandika hapa.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app