Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Status
Not open for further replies.
samahani nifahamishwe, kwani hii mahakama ya kadhi ndio ile inayoamrisha wakosaji wapigwe mawe hadi kufa? au wakatwe mikono kama wameiba?
 

mapepo yenu pelekeni uarabuni, mnataka kutusambazia majini kwa nguvu?
 
Sheikh Mohamed Said taarifa yako ina mapungufu mengi sana kiasi nashindwa pa kuanzia.

Mosi umedai BARAZA KUU LA WAISLAM TANZANIA latoa tamko kuhusu makahakama ya kadhi.Ukweli ni kwamba BAKWATA walishirki vikao vyote vya Bunge maalamu la kutunga katiba.Inashangaza sana BAKWATA walishindwa hata kuwaunga mkono UKAWA waliposusia vikao vya Bunge leo iweje wapinge jambo waliloshiriki wenyewe kulitunga ?.Ukisikia umbea ndio huu

Wajumbe wa Ukawa rejeeni Bungeni

Pili taarifa yako inajichanganya kichwa cha habari BAKWATA ukisoma taarifa yenyewe inaonekana imeandaliwa na kile kikundi cha fujo kinachjiita Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania.

Tatu ikiwa taarifa hii imeandaliwa na Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania basi itakuwa ni kupoteza muda kuijadili taarifa yenyewe kwakuwa majority ya waIslam wa Tanzania wanawakilishwa na BAKWATA ambayo ina jukumu la kutangaza tarehe sahihi ya kuanza mwezi mtukufu,tarehe rasmi ya kuonekana mwezi,kiungo baina ya waIslam na serekali na nk.Hii Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania ni kikundi cha kuleta vurugu kama ile taasisi ya Sheikh Ponda ya kutetea mali za waIslam.
 
Last edited by a moderator:
Andika kiswahili kinachoeleweka pumbavu !!!!!

Mkuu pole mno,

Mekosea mno ama MAMAAKO na BABAAKO hawajakufunza uzuri malezi.

Mie si Mpumbavu bali nalikuwa na Ujinga.

Ila weye kutuletea upunguani wako katika yale usoyafahamu ndo wadhihirisha "UWANA HARAMU WAKO" na Upumbavu wa wazazi wako pale walipokutelekeza na ukalelewa mitaani kama kunguru /paka wa majaani.
 
Vizuri,
Sasa ni HAKI Muislaamu kufinikwa shuka lilochorwa "MSALABA" kwa mujibu wa Imani yake na weye ufahamuvyo....!?

Ndugu hospitali zilizo kwenye MoU ni pamoja na KCMC na Bugando, uliza kama zinalaza wagonjwa na shuka za misalaba.
Msiaminishwe uwongo na wachochezi mkaufanya kuwa ni ukweli
 
mapepo yenu pelekeni uarabuni, mnataka kutusambazia majini kwa nguvu?

Daah....!
Mbona kama mekurupuliwa katika barza ya Mbege nduu yao....!?

Hebu jongea tartibu na huenda ukafahamu wepi wanzi wako tumeanzia na si pahala pa maropoko hapa.

Ina maana mekoswa adabu kiasi hiko ama ndo yako nawe asli....!?

Haya nipo kipembeni hapa nakusubiri.
 
Njaa Mbaya sana humuondolea mtu mzima ufahamu. Ukifika bei unapelekwapelekwa tu tulieni dawa ipate nafasi mwilini. Wapi Sheikh wa kulialia eti Nyerere katukanwa BMK
 

Mbona unaandika kama unaongea? Ingekua mdomo ningesema una ulimi mzito au kithembe. Au ulishalegezwa kitambo
 
Kama watetezi wa Mahakama ya Kadhi ndio nyie,mtasubiri karne nyingi sana kuipata.
 

Kila dini au dhehebu litataka hiyo Mahakama kwa sababu tu Waislam wameipigania na kuipata au kama sehem ya taratibu ya hayo madhehebu?
Hayo madhehebu watataka hiyo Mahakama kama sharti la dini au madhehebu yao au kwa nongwa tu na mtima nyongo kwa kuwa Waislam wanayo?

Hizo dini zitaleta kichekesho!
 

Siyo kweli kuwa
Majority yanaongozwa na BAKWATA. Huo ni Uongo! Nani kakudanganya? Ama hayo mengine ndani ya comments zako mi simo. Ila nilitaka nikusahihishe kuhusu hiyo Majority!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu hospitali zilizo kwenye MoU ni pamoja na KCMC na Bugando, uliza kama zinalaza wagonjwa na shuka za misalaba.
Msiaminishwe uwongo na wachochezi mkaufanya kuwa ni ukweli

Nimekufahamu kwa uzuri mno na kwa ufahamu ulonionesha naomba hadi hapo nikome mjadala baina yangu nawe.

Najaalia ati weye ndo maneno/ maandiko yako yapo sahihi.

Ila nakusihi, mara nyangine sitoe hukmu ya majambo na kaendelea kudhani Waislaamu wa sasa ati bado ni wale wa kuambiwa jambo nao wakalikubali bila kufanza upembuzi kwalo, labda Kanisani hali hiyo kama bado yaendelea.

Ahsanta naamini wenye kufahamu watakuwa waishanifahamu nini mekusudia.

Nipo kipembeni hapa.
 
Wakristo nao wanazo mahakama zao mfano kanisa Katoliki lina mahakama yake ambayo inaanzia katika parokia, jimbo na mwisho ni Vatican lakini hata siku moja hawajawahi kudai igharimiwe na serikali au lazima serikali iitambue. kwa nini wwaislamu wao wanataka mahakama yao tu itambuliwe? Masuala ya dini yako ni yako binafsi hayawahusu wengine.
 
Kumbe wanajua ni swala ambalo aliwezekani kwa sababu za kiutekelezaji lakni ilimardi tu. Maana sasa hayo ndio malalamiko gani kama sio kujiongelea tu chanzo cha sheria za Tanzania ni katiba, sheria za kimataifa za haki za binadamu, morality ya taifa na hivyo ni vitu ambavyo vinaweza badilika anytime na kubadilishwa na bunge.

Halikadhalika chanzo cha sheria za mahakama ya kadhi ni sharia za kiislamu ambazo aziwezi badilishwa na bunge letu, sasa unapotaka kuwe na symbiotic relation na mahakama za serikari ina maana serikari lazima iwe na mamlaka ya kubadilisha maamuzi ya sharia. Haya leo mke mdogo sijui kafungua kesi gani huko kwenye mahakama ya kadhi, matokeo hayaja mridhisha aende ku-appeal wapi? kwanza mahakama zetu zinaruhusu wake wawili au kuna sheria za kuoa zaidi ya mke mmoja ndani ya Tanzania? kama hakuna hakimu anaamua vipi.

Hili mahakama za serikari ziweze kuwa na uhusiano wowote lazima pia kuwe na synchronization na utaratibu wa mfumo wa taifa wa kutafisri, kutunga na kusimamia sheria; ambapo kuna katiba, bunge, wizara ya sheria na wizara ya mambo ya ndani na vyombo vyake. Sasa wewe sheria zako zimetungiwa huko makah sijui madina on religion natural rights. Hivi hapo serikari inaziunganisha vipi kwenye positivie rights za raia wa tanzania bila ya ubaguzi au kuzibadilisha swala ambalo aliwezekaniki kwenye sharia laws.


7. MUSWADA kuitaka Mahakama ya Kadhi ijiendeshe yenyewe:
MUSWAAD huu unaitaka Mahakama ya Kadhi ijiendeshe yenyewe badala ya kuendeshwa na serikali jambo ambalo halijawahi kutokea sehemu yeyote duniani chombo kama mahakama kujiendesha chenyewe.
Tazama sasa hawa watu kwa makusudi mahakama ya kadhi inaweza vipi ingia kwenye taasisi za serikari bila kufanya kazi kwa utaratibu wa sheria za nchi. kwa sasa serikari ina utaratibu wa kufanya uchunguzi wa kesi za mahakama including ma-judge, haya utaratibu wa ku-review kesi za mahakama ya kadhi ukoje, kujua maadili ya kazi yamevunjwa, bunge kupitia makati zake za kudumu linachunguza vipi uendeshwaji wa mahakama ya kadhi linatoa vipi feedback (kuna watu leo wanataka majaji waliosimamia kesi ya IPTL wachunguzwe wa kadhi utaratibu ukoje, iwapo hawafanyi kazi kwa utaratibu wa sheria na maadili ya taifa), nani anajukumu la kusimamia sheria za mahakama ya kadhi jaji mkuu au kadhi mkuu, anawajibishwa vipi na bunge iwapo sheria azitoko bungeni.


In short instead of rumbling hili swala aliwezekani in a secular society, zaidi ya option serikari iliyoitoa liwe ni swala la kujiamulia si zaidi. Hata kama wangetaka it is impractical unless hao waislamu watuelezee how do you harnmonize the court na utaratibu wa serikari kwenye kusimamia sheria za taifa.
 

Sijui tatizo liko wapi kujichanga ili kuanzisha ya kwao!?
 
Hili baraza hivi lishawahi kuongelea ugaidi wa wanaojiita waislamu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…