Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlizoeya mno kuwacheza "SHERE " Waislaamu kwa myaka mingi, na sasa khitami yenyu ndo hini muionayo.
Umoya na Ufahamu wao juu ya hitajio kunako yao "DINI" kumewatosha kuwarejeza pamoya.
Sasa kazi kwenyu "MAKAAFIRI" na zenyu hasada ukomo wake ndo sasa.
Hapa mtajaumia sana.
Andika kiswahili kinachoeleweka pumbavu !!!!!
Wewe unaongea kama nani kwenye hii nchi.
Vizuri,
Sasa ni HAKI Muislaamu kufinikwa shuka lilochorwa "MSALABA" kwa mujibu wa Imani yake na weye ufahamuvyo....!?
mapepo yenu pelekeni uarabuni, mnataka kutusambazia majini kwa nguvu?
Mkuu pole mno,
Mekosea mno ama MAMAAKO na BABAAKO hawajakufunza uzuri malezi.
Mie si Mpumbavu bali nalikuwa na Ujinga.
Ila weye kutuletea upunguani wako katika yale usoyafahamu ndo wadhihirisha "UWANA HARAMU WAKO" na Upumbavu wa wazazi wako pale walipokutelekeza na ukalelewa mitaani kama kunguru /paka wa majaani.
Kama watetezi wa Mahakama ya Kadhi ndio nyie,mtasubiri karne nyingi sana kuipata.Mkuu pole mno,
Mekosea mno ama MAMAAKO na BABAAKO hawajakufunza uzuri malezi.
Mie si Mpumbavu bali nalikuwa na Ujinga.
Ila weye kutuletea upunguani wako katika yale usoyafahamu ndo wadhihirisha "UWANA HARAMU WAKO" na Upumbavu wa wazazi wako pale walipokutelekeza na ukalelewa mitaani kama kunguru /paka wa majaani.
Hii nchi haina dini jamani. Kila dini/dhehebu likitaka mahakama yake tutafika wapi jamani? Ndugu Waislamu litafakari zaidi hili. Ndio maana hata kufungisha ndoa ni mamlaka ya dini husika na serikali haigharamii shughuli za ufungishaji ndoa za wakristo wala waislamu
Sheikh Mohamed Said taarifa yako ina mapungufu mengi sana kiasi nashindwa pa kuanzia.
Mosi umedai BARAZA KUU LA WAISLAM TANZANIA latoa tamko kuhusu makahakama ya kadhi.Ukweli ni kwamba BAKWATA walishirki vikao vyote vya Bunge maalamu la kutunga katiba.Inashangaza sana BAKWATA walishindwa hata kuwaunga mkono UKAWA waliposusia vikao vya Bunge leo iweje wapinge jambo waliloshiriki wenyewe kulitunga ?.Ukisikia umbea ndio huu
Wajumbe wa Ukawa rejeeni Bungeni
Pili taarifa yako inajichanganya kichwa cha habari BAKWATA ukisoma taarifa yenyewe inaonekana imeandaliwa na kile kikundi cha fujo kinachjiita Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania.
Tatu ikiwa taarifa hii imeandaliwa na Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania basi itakuwa ni kupoteza muda kuijadili taarifa yenyewe kwakuwa majority ya waIslam wa Tanzania wanawakilishwa na BAKWATA ambayo ina jukumu la kutangaza tarehe sahihi ya kuanza mwezi mtukufu,tarehe rasmi ya kuonekana mwezi,kiungo baina ya waIslam na serekali na nk.Hii Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania ni kikundi cha kuleta vurugu kama ile taasisi ya Sheikh Ponda ya kutetea mali za waIslam.
Ndugu hospitali zilizo kwenye MoU ni pamoja na KCMC na Bugando, uliza kama zinalaza wagonjwa na shuka za misalaba.
Msiaminishwe uwongo na wachochezi mkaufanya kuwa ni ukweli
Kumbe wanajua ni swala ambalo aliwezekani kwa sababu za kiutekelezaji lakni ilimardi tu. Maana sasa hayo ndio malalamiko gani kama sio kujiongelea tu chanzo cha sheria za Tanzania ni katiba, sheria za kimataifa za haki za binadamu, morality ya taifa na hivyo ni vitu ambavyo vinaweza badilika anytime na kubadilishwa na bunge.6. MUSWADA umetoa hiyari kwa mtu kufungua shauri katika Mahakama ya Kadhi.
Jambo hili limekusudiwa kuifanya Mahakama ya Kadhi iwe butu na kutoa mwanya wa kutokea mgongano baina ya Mahakama ya Kadhi na mahakama za kawaida ikiwa kila upande katika mgogoro utaamua kufungua shauri katika mahakama tofauti. Hili lisingewezekana kama serikali ingekuwa na nia ya kweli ya kuunda Mahakama ya Kadhi madhubuti.
Tazama sasa hawa watu kwa makusudi mahakama ya kadhi inaweza vipi ingia kwenye taasisi za serikari bila kufanya kazi kwa utaratibu wa sheria za nchi. kwa sasa serikari ina utaratibu wa kufanya uchunguzi wa kesi za mahakama including ma-judge, haya utaratibu wa ku-review kesi za mahakama ya kadhi ukoje, kujua maadili ya kazi yamevunjwa, bunge kupitia makati zake za kudumu linachunguza vipi uendeshwaji wa mahakama ya kadhi linatoa vipi feedback (kuna watu leo wanataka majaji waliosimamia kesi ya IPTL wachunguzwe wa kadhi utaratibu ukoje, iwapo hawafanyi kazi kwa utaratibu wa sheria na maadili ya taifa), nani anajukumu la kusimamia sheria za mahakama ya kadhi jaji mkuu au kadhi mkuu, anawajibishwa vipi na bunge iwapo sheria azitoko bungeni.
7. MUSWADA kuitaka Mahakama ya Kadhi ijiendeshe yenyewe:
MUSWAAD huu unaitaka Mahakama ya Kadhi ijiendeshe yenyewe badala ya kuendeshwa na serikali jambo ambalo halijawahi kutokea sehemu yeyote duniani chombo kama mahakama kujiendesha chenyewe.
... lakini pia Waisilamu ni watu, na watu ndio ninyi!Hapa siitetei CCM. Uislam kwanza kuliko kingine chochote.Kwa mantiki hiyo unaungana na waisilamu kupinga mapendekezo yaliletwa na CCM kuanzia kwenye katiba hadi sheria hii? Unapaswa kunyang'anywa kadi ya 'chama' wewe!CCM ni watu na watu ndiyo sisi.
walislamu waliona jk ni mwenzao wakampa kura 2010 sasa walivyoachwa kwenye mataa hawaamini hadi leo!
_sasa mara hii anapita mkristo sijui itakuweje huko twendako na mahakama yenu
_changeni pesa muanzishe mahakama hizo kwa hela yenu ndio ushauri wangu
Sijaongea Ritz , bali nimeandika kama mwananchi wa Jamhuri Huru ya Tanganyika. Habari za mwanza?