Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Status
Not open for further replies.
Vilevile mahakama ya kadhi ikipita mwanamke wa kiislamu marufuku kwenda offisini kufanya kazi,kwenda shambani,atatakiwa kukaa nyumbani ili kutimiza majukumu ya mumewe kv,kufua nguo, kupikachakula cha mumewe, kutandika kitanda kunyoosha nguo kupamba nyumba arafu mumewe akirudi ni kumpokea kwe kheshim na kuelekea chumbani kumuandalia chakula cha hamu, nikimaanisha kupanua mapaja na kumpa papuchi .
Sasa ole wenu nyie wanawake wa kiislamu msiokuwa na nyege za haraka,ole wenu wanawake wa kiislamu mliofanyiwa tahara mkingali watoto wadogo, ole wenu wanawake wa kiislamu mliopata elimu dunia nikimaanisha wanawake wasomi walioajiriwa wa kitanzania, sheria ni msumeno tutakapopitisha hii mahakama ya kadhi, haya mambo tutahakikisha haya mambo hayakwepeki!
 
Hawa viumbe wa ajabu wanasumbuliwa na chuki tu, mahakama ya kadhi ni kwa ajili ya Waislam lakini kwao ni shida.

Hakuna anayepinga kuwepo mahakama ya Kadhi. Tatizo lipo kwenye sisi kuridhia kodi zetu kugharamia shughuli za kumkufuru Mungu wetu. Hapo endeleeni kuota ndoto za mchana tu.
 
Hakuna anayepinga kuwepo mahakama ya Kadhi. Tatizo lipo kwenye sisi kuridhia kodi zetu kugharamia shughuli za kumkufuru Mungu wetu. Hapo endeleeni kuota ndoto za mchana tu.

Kausome waraka wa CPT.
 

Huo labda ni Uislam mnaofundishwa Kanisani.
 
Mahakama ya kadhi ni kwa wasaka tonge tu, mbona swala tano,ed el haji,id el fitri hazimo ndani ya katiba na bado wanazisherehekea?
 
hii nchi ni non cecullar state,haya mambo ya kuendeshwa kwa mashinikizo ya mirengo ya dini yatatupeleka pabaya,imagine wakristo waje na yao,wasioamin pia hivo,patakalika?
no to katiba pendekezwa.
 
binafsi naona hakuna ujinga kupita huu wa waislamu.kodi zetu mtumie kwenye dini yenu?mnafikiri katiba ya dini hiyo?kila dini ikidai mahakama itakuwaje?
 
Iran,Quaity Saudi arabia Iraq Rebanin Pakistani Afghanistani and so on .........islamic state(mahakama ya kadhi) kilingi themselves as animals.
 
Wanayopinga Wakristo yote ni maamrisho kutoka Kanisani.

Kitu ambacho Wakristo wamekisahau ni kuwa hilo hilo Kanisa ndiyo lilikuwa chanzo cha mauaji ya kimbari hapo jirani.

Kwanini usiangalie hali ya dunia sasa Acha kuongea yaliyopita na ambayo yamesharekebishwa Naulizaa mimi kama mkristo na mfanyakazii wa serikali kwanini nikatwe kodi iende kuendesha na kulipaa kadhi wanaoendesha sheria za shariah law je inanihusu Vipi miimi? Hapo sielewi kabisa
 
Just imagine kila dhehebu likiomba mahakama! au hata wapagani wakiomba mahakana kukidhi kutoamini kwao itakuwaje? Lakini si mnaruhusiwa kwa gharama zenu kwa nini hilo hamlitaki?

Chuakachara,
Jitulize na fanya mjadala wa maana kwa kuangalia ukwel wa
mambo.

Wapagani?
Ikiwa wapo na wana mahitaji yao serikali inawajibika kwao.

Lakini nakufahamisha kuwa Waislam katika Tanzania na katika
iliyokuwa Tanganyika wana historia ya kipekee na ukisoma hiyo
historia ndipo utawajua.

Anza na Vita Vya Maji Maji kisha njoo katika kupigania uhuru wa
Tanganyika.

Ndani ya historia hii kuna mengi ya kujifunza.

Ukitoka hapo njoo sasa katika historia ya Waislam baada ya uhuru
hadi sasa.

Ukisoma hayo yote utajua kuwa Waislam kama jamii walikuwa na
mahitaji yaomaalum na ndiyo yaliyowafanya kunyayua silaha dhidi
ya Wajerumani na ndiyo mahitaji hayo hayo yaliyowafanya wawe
mstari wa mbele kudai uhuru.

Turudi kwa Wapagani.

Ikiwa na wao kama jamii ya Watanganyika itafute historia yao dhidi
ya ukoloni ili ujue nini walichokuwa wanataka wakati ule na nini wa
nataka hivi sasa.

Usiwafananishe Wapagani (ikiwa wapo) na Waislam mfano huu
wako hauenei kwa kila hali.

Mahakama ya Kadhi ilikuwapo Wajerumani waliikuta na Waingereza
pia na waliziheshimu.

Mahaka ya Kariakoo nyuma ya Posta ya Kariakoo ilikuwa mahakama
ambayo Sheikh Said Chaurembo akihukumu ndoa, talaka na mirathi.

Mnazi Mmoja ilikuwapo mahakama pale na mmoja wa mahakimu
wake namkumbuka alikuwa Sheikh Kassim Juma.

Tabora Liwali Bilal Mshoro alikuwa akihukumu halikadhalika Songea
alikuwapo Sheikh Abdallah Simba.

Moshi alikuwapo Liwali Mussa Minjanga akihukumu pale Bomani.

Mahakama hizi zilikuwapo hadi mwaka 1963 na zikavunjwa kimya
kimya.

Mahakama hizi zilikuwa zikigharimiwa na serikali na zilikuwapo nchi
nzima popote walipokuwapo Waislam.

Ningependa kumaliza kwa kusema baadhi ya hao masheikh mahakimu
wakifahamiana vyema sana na babu yangu Salum Abdallah na mimi
nimewaona kwa macho yangu.

Hii ndiyo historia ya Waislam wa Tanganyika na Mahakama ya Kadhi.
Tuendelee na mjadala ikiwa utapenda In Sha Allah.
 

Na sio lazima tupate katiba mwaka huu ata mimi nisingependaa kukatwa mshahara Wangu kodi kulipiaa mahakama ya kadhi Bado sijaridhia nalo so lets agree to disagree na pia wakristuu wengi hawaridhii nalo kuna na tena zaidi Wale wanaofanya Kazi na kulipa kodi Halali serikalini
 
Wanayopinga Wakristo yote ni maamrisho kutoka Kanisani.

Kitu ambacho Wakristo wamekisahau ni kuwa hilo hilo Kanisa ndiyo lilikuwa chanzo cha mauaji ya kimbari hapo jirani.

Je Nikuulizee ni watu wangapi kila siku wanakufaa syria na sehemu nyingine duniani in the Name of Allah? Dont be so quick to judge
 
Dini ya kiislaamu ndiyo iliyochukua wasichana (wanafunzi) huko Nigeria eti hawapaswi kuwa shuleni! samahani sana hiyo mahakama ya kadhi isije ikatutoa shuleni ili tusisome, tuwe msituni na Boko haram
 
Kausome waraka wa CPT.
cpt cpt...serkali imeshajinadi ni makafir0†7 Leo unaenda muomba tena kwa kulia lia akupangie utaratibu wa ibada!¡è kesho mtawaomba makafir nini? Deen gani hii dhaif kiasi hiki wanawashinda hata wanga, wana mahakama zao na hawajaiomba sirikali! Nyinyi hamna mnaenda kizoba zoba! teh tehee! Hivi kinacho washinda ni nini mkakaa hata anatoglo hall na kuwachagua maqadi wenu wakahukumu wajane kupata kithumni wachimbe nini? Tena mkimpata qadi nyie endeleeni na hukmu za qadi, bila hata kuwapa taarifa serkali! Sembuaneni mikono serkali ikiwauliza wamwagieni ayat ya qaraa na ayat ya katiba watatulia tu! Makafir wakileta ya kuleta mnatangaza jihad! Hiyo ndiyo kamba ya allah bibie! Kila kitu mfundishwe?
 

Uko sawa, LAKINI mahitaji ya jamii yalikuwa consolidated baada ya kupata tanganyika huru/Tanzania huru. Tukafuta machifu ili tuwe na one government! Kiswahili kikawa lugha ya taifa, vernaculars zetu zikabaki ndani ya makabila yetu. Dini zikabaki kwetu binafsi na viongozi wetu. dini zikabaki katika mamlaka ya waumini as long as they are not repagnant to natural justice. Customary laws zikabaki ndani ya makabila yetu as long as they are not repagnant to natural justice. Hivyo hivyo na mahakama ya kadhi ibaki ndani ya dini husika bila serikali kuweka mikono yake, ila pale ambapo itaonekana kuna uvunjaji wa haki za binadamu!
Mohamed kuna tatizo gani mkaziendesha wenyewe? Kwa nini mnalikataa hilo? Mbona mnaendesha mashirika yenu ya dini vizuri kwa gharama zetu bila kuingiliwa na serikali? Wakristo vile vile wanaendesha mambo yao bila kuidai serikali gharama. Why Kadhi court in particular? Tujadili rafiki.
 
Je Nikuulizee ni watu wangapi kila siku wanakufaa syria na sehemu nyingine duniani in the Name of Allah? Dont be so quick to judge

Usiende mbali hapo ufaransa jana, ni kwa jina la Allah wameua watu wasio na hatia
 

Kilapalio,
Hutaelewa kwa kuwa ulichotanguliza ni ''choyo.''
Waislam na Uislam utanufaika.

Ungetanguliza mapenzi na udugu usingepata shida wala hofu.

Nadhani unajua kuwa Kanisa linapokea fedha kutoka serikalini
kuendesha mambo yake.

Je uko tayari kuona Waislam wanatengewa fedha na serikali
kwenda misikitini kuendesha miradi ya Kiislam?

Ukitaka zaidi katika haya Faiza Foxy tunae hapa yeye ni mtaalamu
wa MoU kati ya Serikali ya Tanzania na Makanisa.

Ni mabilioni ya shilingi...

Mambo haya yanataka akili iliyotulia si mambo ya ushabiki na kukimbilia
kusema.

Inataka tafakuri.
Inahitaji stahamala vinginevyo tutaiangamiza nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…