Nadhani huna kumbukumbu nzuri pale askofu wa katoliki alipotangaza hadharani kwamba Kikwete ni chaguo la Mungu. Aidha, mwenye akili zake timamu na apendae kuhushughulisha ubongo wake ipasavayo anafahamu pasipo na shaka yoyote ile kwamba endapo angechaguliwa na Waislamu peke yake basi JK asingeingia Ikulu! Acheni huu ujinga wa kuaminishana kwamba jamii fulani ndio tatizo la nchi hii!! Kama Waislamu walimchagua JK kwa kumuona mwenzao, Wakristo ambao walimpigia kura kwanini walifanya hivyo? Ni mkoa, wilaya au kijiji gani Tanzania hii ambako JK hakupigiwa kura? Kote huko kuna Waislamu peke yake? Achana na mawazo mgando ndugu....walislamu waliona jk ni mwenzao wakampa kura 2010 sasa walivyoachwa kwenye mataa hawaamini hadi leo!
_sasa mara hii anapita mkristo sijui itakuweje huko twendako na mahakama yenu
_changeni pesa muanzishe mahakama hizo kwa hela yenu ndio ushauri wangu
Halafu kwa kujifanya mko smart nyie watu hamjambo? Hivi huko Ugalatiani hakuna unafiki na kusalitiana? Ikiwa Sheikh wa Mkoa ni mnafiki kwa kigezo kwamba huenda akatoa tamko la kumlinda JK, vipi kuhusu yule Askofu ambae alitangaza hadharani kwamba JK ni chaguo la Mungu? Hivi Wakristo si mnaamini kwamba Uislamu ni Ushetani? Sasa ikiwa ni ushetani, ni unafiki kiasi gani Askofu kusimama hadharani kutangaza shetani ni chaguo la Mungu? Acheni chuki zenu za kijinga... nchi hii Wakristo na Waislamu wote ni tatizo lakini watu walivyo wajinga wanajitia upofu na kuona CCM inakaa madarakani kwa ajili ya Waislamu wakati Bara kote huko ambako kumejaa Wakristo kote huko wanaichagua CCM.Astaghafilullah kafiri weye unaongea ufirauni mwanakharam mkubwa weye..Hahahahaha...:glasses-nerdy::biggrin::biggrin:
Hii kitu wangeikomalia Ccm wangeharisha maji..lakini wenyewe kwa wenyewe wanafitiniana. Hapo utamsikia yule Shekh wa mkoa wa daslama,mnafiki yule anakuja kuunga mkono hoja ya "subra" kumlinda kikwete..ptyuuuuu!!!
Hapa siitetei CCM. Uislam kwanza kuliko kingine chochote.
Hata Mohamed Said ungepewa uraisi wa Tanzania, nakuhakikishia hutaweza kuinfluence mahakama ya kadhi igharamikiwe na serikali, ama kwa kupitia katiba, kwa sheria za nchi au hata kwa udikteta... hutaweza...
Mimi ni mpinzani mkubwa wa CCM, lakini nina uhakika kwa hili mnawaonea...
Institutionally Bakwata ipo upande wa Ccm. Huko kwa wagala ni individual's corrupt mind ndo wanasupport.Halafu kwa kujifanya mko smart nyie watu hamjambo? Hivi huko Ugalatiani hakuna unafiki na kusalitiana? Ikiwa Sheikh wa Mkoa ni mnafiki kwa kigezo kwamba huenda akatoa tamko la kumlinda JK, vipi kuhusu yule Askofu ambae alitangaza hadharani kwamba JK ni chaguo la Mungu? Hivi Wakristo si mnaamini kwamba Uislamu ni Ushetani? Sasa ikiwa ni ushetani, ni unafiki kiasi gani Askofu kusimama hadharani kutangaza shetani ni chaguo la Mungu? Acheni chuki zenu za kijinga... nchi hii Wakristo na Waislamu wote ni tatizo lakini watu walivyo wajinga wanajitia upofu na kuona CCM inakaa madarakani kwa ajili ya Waislamu wakati Bara kote huko ambako kumejaa Wakristo kote huko wanaichagua CCM.
...
Hata Wapagani tunasema Hapana kwa Katiba inayopendekezwa ya Warioba tu !!!
Safi sana, pigeni kura ya hapana ili tuendelee na katiba iliyopo. Eti mtaipunguzia mzigo serikali, kwani serikali imewaomba msaada. Kimbelembele chenu mnataka kukifanya iwe ni lazima.