OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hakuna mahakama ya kadhi tz,wehu nyie,waislam ni wajinga sana.
Mfano mimi girlfriend wangu ni dada FF na imethibitishwa kuwa tunagegedana, je yeye atapigwa mawe mpaka afe na mimi nitakula mikwaju 100,?
Mkuu naomba kukuuliza hizo hospitali na skuli zinahudumia wananchi wa dini zipi? Je zianahudumia wananchi wa dini nyingine na hata wasiokuwa na dini? Hizo mahakama za kadhi zitahudumia wananchi wa dini ipi? Je zitahudumia wananchi wote hata wa dini nyigine na wasiokuwa na dini?
Ndo mana tunasema kwamba kama mumeweka pamba za masikio hamuelewi Mahkama ya Kadhi, waislamu tunafanya kampeni nchi nzima kuzuia Katiba mpya
Hao waislam wasaliti waliishabikia katiba ya sita na ya chenge sasa mnamlilia nani
Wewe unaongea kama nani kwenye hii nchi.
Ahsanta kwa ulizo,
Nakutaka tuende pole pole ili tupate faida.
Uishawahi mkuta Muislaamu kalazwa kunako hizo Spitali....za Kikanisa!?
Ahsanta kwa ulizo,
Nakutaka tuende pole pole ili tupate faida.
Uishawahi mkuta Muislaamu kalazwa kunako hizo Spitali....za Kikanisa!?
Mbona ndio wengi! Hata elimu Kikwete wenu kasomea shule za wakristo. Kuna shule moja ya wakristo inafanya vizuri sana Tanga , believe it, 60-65% ya watoto ni waislamu. Kuna shuke zenu hawaendi sijui kwa nini
Astaghafilullah kafiri weye unaongea ufirauni mwanakharam mkubwa weye..Hahahahaha...:glasses-nerdy::biggrin::biggrin:
Hii kitu wangeikomalia Ccm wangeharisha maji..lakini wenyewe kwa wenyewe wanafitiniana. Hapo utamsikia yule Shekh wa mkoa wa daslama,mnafiki yule anakuja kuunga mkono hoja ya "subra" kumlinda kikwete..ptyuuuuu!!!
Kwenye haya mambo, waislam wengi hawajui wanataka nini hasa zaidi ya kufuata upepo. Ngoja BAKWATA nao waje na msimamo wao. Ni hao hao leo wataiponda na kuilalamikia serikali ya CCM wakati huo huo wao ndiyo mtaji mkubwa wa CCM!!
inabidi muwe na msimamo huo huo kura ya hapana na muwakumbushwe waislam mwaka 2010 jk aliwandanganya hivyo sasa hivi msidanganyike 2015 ccm ikataliwe na katiba kura ya hapana
Mbona ndio wengi! Hata elimu Kikwete wenu kasomea shule za wakristo. Kuna shule moja ya wakristo inafanya vizuri sana Tanga , believe it, 60-65% ya watoto ni waislamu. Kuna shuke zenu hawaendi sijui kwa nini
Mkuu, sidhani kama kuna zaidi ya hapo. Nazikubali hoja zako.
Baya zaidi waislamu wenyewe hawako pamoja kwenye hili.